Huu ni Mkataba mkubwa mbovu kuwahi kusainiwa na Rais tangu tupate Uhuru

Huu ni Mkataba mkubwa mbovu kuwahi kusainiwa na Rais tangu tupate Uhuru

Kwa viongozi wote wa juu wanaohusika, hakuna hata mmoja asiyejua kuwa huu mkataba katika hali yake ya sasa umekataliwa na watanzania walio wengi!

Ila pia inaelekea hawako tayari kusikia kilio hiki cha watanzania na kuamua kuachana au kurekebisha mkataba huu!! Hii ni dalili kuwa sikio limeamua kufa na kuwa wamekula cha watu!!

Kama jinsi ambavyo historia inamkumbuka chifu Mangungo leo, na uzao wake wanajisikia aibu na fedheha mpaka leo, ndivyo uzao wa watawala wetu utakavyojisikia hatia, fedheha na aibu mbele ya watu milele!!
 
Hivi kwenye uzao wa chief mangungo , Kuna watoto au wajukuu wake ambao wapo hai Hadi Sasa !? mwenye kujua familia ya mangungo atujuze, pengine ndo wanaolihujumu taifa hili Hadi leo hii.
Mjuukuu alikuwa babu yake na tulia ackson...aka danga akaa zaa na mtu ya pwani ndoo uzao wa samia...
 
1692052535929.png

1692052730201.png
 
Kwa viongozi wote wa juu wanaohusika, hakuna hata mmoja asiyejua kuwa huu mkataba katika hali yake ya sasa umekataliwa na watanzania walio wengi! Ila pia inaelekea hawako tayari kusikia kilio...​
Safari hii mkataba unalazimishwa kwa mtutu.

Onesha kuukataa upewe kichwa cha uhaini
 
Kijazi cha chifu Mangungo kipo hadi leo na wanajifahamu!! Ila wengi wao hawataki kutumia tena jina la Mangungo kwa aibu, wala hawakubali kujitambulisha naye!!

Kama ukoo wa akina Mkwawa na kina Milambo upo mpaka leo na wanaona fahari kujitambulisha ndivyo na ukoo wa Mangungo upo na wanajijua lakini kwa AIBU hawawezi kujitambulisha!!

ndivyo ukoo wa akina Xa100 utakavyoona fedheha milele na milele!!
 
Hivi kwenye uzao wa chief mangungo , Kuna watoto au wajukuu wake ambao wapo hai Hadi Sasa !? mwenye kujua familia ya mangungo atujuze, pengine ndo wanaolihujumu taifa hili Hadi leo hii.
Lazima uzao wa Mangungo upo!! Kama uzao wa Mkwawa wapo na wanajitambulisha wakiwa kifua mbele hali kadhalika uzao wa Mangungo upo ila kwa fedheha hawawezi kujitambulisha na bila shaka hawako tayari kutumia jina la ukoo la Mangungo!! Lakini wanajijua!!
 
Hivi kwenye uzao wa chief mangungo , Kuna watoto au wajukuu wake ambao wapo hai Hadi Sasa !? mwenye kujua familia ya mangungo atujuze, pengine ndo wanaolihujumu taifa hili Hadi leo hii.
Inasemekana uzao wake ni huu wa rais Samia ndiyo maana matendo wanafanana
 
Naomba waandishi wa habari wafuatilie huko Msovero iliyoko usagara ili wakakitafute kizazi cha Mangungo na wafanye nao mahojiano. Kizazi cha machifu huwa hakipotei lazima wapo na wanafahamika!!
 
Sijui hawa walioamua kutupora bandari zetu kwa nguvu wanajisikiaje wanapoona watanzania wanalalamika kila siku kuhusu jambo hili!!
 
Back
Top Bottom