Huu ni Mkataba mkubwa mbovu kuwahi kusainiwa na Rais tangu tupate Uhuru

Dah DP ndo washapewa bandari,..Sasa mijadala ilikuwa ya kazi gani?...lost of energies na time tu
 
Dah DP ndo washapewa bandari,..Sasa mijadala ilikuwa ya kazi gani?...lost of energies na time tu
Kujadiliana ndio uhai wa taifa lolote lile, taifa bila mijadala ni taifa mfu. Leo unaweza kuona haijaleta faida lkn faida yake utaiona baadae kama sio wewe watoto wako.
 
Sijapinga mjadala ,..nnachopinga Ni kuwa Kama serikali ilishaingia na kusaini mkataba je kulikuwa na haja gani ya kusema watu wajadili na wakati wanajua kabisa ukishasaini mkataba shughuli ishaisha
Kujadiliana ndio uhai wa taifa lolote lile, taifa bila mijadala ni taifa mfu. Leo unaweza kuona haijaleta faida lkn faida yake utaiona baadae kama sio wewe watoto wako.
 
Kuna hilo hili dili linakuja mwezi ujao la gesi LNG. Mkataba HGA watasaini mwezi ujao, siku chache zijazo wenye thamani ya 42 billions US dollars. Umeharakishwa harakaharak sina uhakika maslahi ya Taifa yamezingatiwa inavyotakiwa.

Sababu wanaosaini ni wale wale waliosaini mikataba ya hovyo iliyopita.

 
Alisikika akisema kule Dodoma, hivi viatu ni vikubwa havinitoshi.
Leo ndio nimeelewa vizuri.

Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
 
inaumiza sana moyo, na hili likikaa vizuri ni tiketi ya kumwondoa madarakani 2025. watu wakieleweshwa vizuri atapata tu kura za kuiba ila za halali hapati.
tushajua ndoolengo lenu. mumuchafue ili asingombee. sasa mama tunae mpaka2030 Mungu akipenda
 
Kila mtu na mapungufu yake ila yanazidiana, mapungufu ya kuiba pesa huwezi kulinganisha na mapungufu ya kuuza raslimali za nchi.
mkiambiwa onyesheni kwenye mkataba wapi rasimali zimeuzwa mnaanza rukaruka kama mahargwe jikoni
 
Ukahaba Kwa MwAnaMkE niswala la asili (rejea yesu ,anasema kama hujawahi zini mpigeni kwamawe)

Swala la usaliti Kwa MwAnaMkE ni la asili
Rejea nuhu na yeye MwAnaMkE

Tumshangae ,tuwaombe waliopo karibu nae wamsaidie
 
Tazizo ziongozi waislamu wamekosa uzalenxo kabisa
 
mkiambiwa onyesheni kwenye mkataba wapi rasimali zimeuzwa mnaanza rukaruka kama mahargwe jikoni
Tukiambiwa na nani, kasome andiko la Prof Shivji utaona mapungufu ya mkataba wenu.
 
hivi kuna shida gani taasisi za dini hii nyingine kujenga hospitali na mashule wakaingia mkataba na serikali ili wivu upungue, kuliko kuendelea kulalamika kwamba pesa yao inatumika kwenye mashirika ya kikristo wakati kiukweli wao pia wanatibiwa kwenye hizo hospitali na mashule wanaenda. nadhani serikali iingie pia makubaliano na wao pengine watanyamaza.

kwa wasiojua, serikali ndio iliomba hayo mashirika ifanye hivyo ili kuongeza ajira na kupanua huduma sehemu ambazo serikali ilikuwa haina uwezo kufikia wananchi. serikali haijajenga hospitali hadi maeneo ambayo catholics wamefika, wao wamefika hadi vijijini sana na serikali yenye wajibu haijafika huko. na tangu nianze kwenye kwenye hayo mahospitali n.k sijawahi kuona ukaguzi unafanyika kuuliza dini ya mtu kabla ya kuhudumiwa, hawa wanaotaka kulalamika ndio wanataka kutupeleka huko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…