Huu ni Mkataba mkubwa mbovu kuwahi kusainiwa na Rais tangu tupate Uhuru

Mkataba mzuri ni wa TBL Pekee!
Mkuu na huu nao waliutikisa ili uonekane mbovu pale Serikali ilipokuja na ile Sheria ya kunywa bia (vinywaji vikali) kuanzia saa 10.00 jioni hadi saa 6.00 Usiku. Nadhani kuna sehemu zingine bado sheria hii inafanya kazi.
 
we msenge. nyerere alikuja pwani kavaa kaptura wakampa suluari.
Mkuu igonga, huu msemo ulioutumia sio rafiki kabisa! Je huyu Hayati uliye mtaja angekuwa baba ama babu yako, amedharirishwa hivi, ungefurahi? Jikite kwenye hoja
 
Huwezi kutegemea nchi yenye mifumo dhaifu kuweza kujenga taasisi imara ya urais. Katika nchi kama yetu Rais ndiye kila kitu, na yupo huru kufanya kila kitu kutokana na utashi wake binafsi, ikiwemo kuingia katika mkataba kama huu wa "Kimangungo Pro Max" almaarufu kama "Neo-Mangungo Digital".
 
Umesahau na ule wa gesi aliosaini juzi kupitia Makamba
 
Shida ya huyo mama ni mvivuuu hasomi ye anasaini tu anacholetewa mezani, tumepigwa!
Na hivi wasaidizi wanamdharau ndo balaa wanamzungusha tu mama wa watu na ushungi wake
Anaweza akawekewa hata barua ya posa kwa mara 2 pili akasaini ,halafu siku ya kuvalisha DERA atatoa tu mimacho na kusema kwani mkataba wetu unasemaje?
 
Samia amesaani MoUs 17.

Hiyo ya bandari ni IGA moja tu iliyovuja.
 
Tuna bahati mbaya sana kuwa na huyu Rais tuliyenaye.
Kwa vile Rais ni mali ya nchi na sisi ndio waajiri wake wakuu, sasa kama waajiri wake wakuu tunapaswa kutoa tamko na kumtaka ajiuzulu kwa amani kwani hajakidhi matarajio yetu.
Na ni kwa vile tuu hatuna Bunge tulilolichagua wenyewe vingenevyo bunge lingetumia mamlaka tuliyolipa ya kumfukuza kwa kutokuwa na imani naye.
Lakini yote hayo ya nini? Kiungwana ni kuachia bila kusukumana.
 
Bandari itaendelea kuwepo mpaka mwisho wa dunia !! Inawezekana ikawa inamilikiwa na watu tofauti tofauti kila zama lakini bado itaendelea kuwepo palepale ilipokuwepo. !

Lakini ndugu madini yakianza kuchimbwa huwa yanabaki mashimo matupu ambayo baadaye unaweza ukayafanya kuwa labda mahandaki !

Kwa tulipopigwa zaidi ni kwenye mikataba ya madini ambayo Mwalimu alikataa kuingia mikataba hiyo ya kinyonyaji !!
 
Ukumbuke pia kwamba kwa mujibu wa katiba iliyopo Rais anaweza akalivunja Bunge na kuitisha uchaguzi mkuu !!
 
Ukumbuke pia kwamba kwa mujibu wa katiba iliyopo Rais anaweza akalivunja Bunge na kuitisha uchaguzi mkuu !!
Sawa, na akilivunja bunge uchaguzi ukiitishwa ni mpaka chama chake kimpitishe tena kugombea.
Sasa huyu watampitisha tena kugombea wakati ameruhusu ubara na uzenji iwe ajenda?
Ok hata chama chake kimpitishe kura za hawa wanaolalamika bandari yao kutaka kuuzwa watamuelewa?
 
Kura ??!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…