Huu ni ushamba, kupanga mstari kumsindikiza Rais akienda Ulaya

Siyo kila kitu kukosoa tu. Tatizo ni nini kwa viongozi kumuaga Mhe. Rais?
Tatizo hapa ni Kodi za wananchi zinavotumika vibaya:
βœ“ Kwanza sasa hivi mikutano mingi haifanyiki uso kwa uso. Hii covid-19 imetufundisha jinsi ya kufanya mikutano ya kutokukutana;
βœ“ Matumizi mabaya ya rasilimali watu, fedha na muda. Hatuoni umuhimu viongozi wote hawa kuwepo pale airport kumwaga Rais akiondoka.
Rais kabla ya kuondoka angeweza kuwabrief viongozi wenzake na kuwaagiza yale anayotaka yafanyike at her absence. Siyo lazima kwenda kupanga foleni ya kuagana; ndo mwingine anasema huu ni ushamba na ujuha wa viongozi wetu. Bado watu wanaofanya mambo kimazoea
 
Ukisoma masuala ya itifaki utaelewa kinachofanyika na ni akina nani wanatakiwa kuwa hapo anapoondoka Rais au anaporudi.

Anyway anzisha uzi wake nitakuelimisha.
 
Huo muendelezo wa hayo ndiyo unaomfanya aendelee kukaa madarakani ..... akiwalegezea, wanamfyatua!!
 
Kwani jiwe alikuwaje?....mbona hukusema Nchi limeoza majitu yaliyomo mamlakani hayawa uwezo wakufikiri zaidi yakua udu watu
 
Kweli huu ni ushamba kabisa na ni mwendelezo wa ulimbukeni aliyouacha dikteta John Pombe Joseph Magufuli.

Hawa watu hawaamini kama kweli ni marais na hata huyu hiyo miaka 10 wanayomfagilia atawale sidhani kama huyu Mungu wetu mwenye wivu ataruhusu atawale kwa sababu ni yale yale ya kuabudu sanamu badala ya Mungu wa kweli.
 
Zamani baba akienda masomoni ulaya usiku kunakuwa na kikao cha familia.

Zamani Huko vijijini pale kunapotokea mzee anaenda dsm ndo wanaitwa mpaka wazee wa kijiji kupeana usia.
 
Vest acha ugomvi na marehemu,magu ni mtume mwingine alichokifanya nchi hii itasubiri sana kabla haijapata mrithi sahihi.
 
🀣🀣🀣 Umenikumbusha enzi za East African Railways wakati wa train kuondoka Kigoma, mji mzima unakusanyika kituo cha reli .... Kusindikiza!!!.

🧐🧐🀨 Si EAR wakaja na ubunifu wa ticket iliyoitwa "Sindikiza" ...Kila aliyekwenda kusindikiza alitozwa mapesa, kutunisha mifuko ya reli.πŸ€”πŸ€”

TAA waanze kuwatoza ada ya kusindikiza, shs 2000 kwa kila kigogo kwa wingi huu wa safari za Hangaya.....Alhamdullialah.πŸ˜‰
 

Aisee sisi Watanzania tuna shida gani sijui? Mleta mada kasema alidhani huyu wa sasa ataachana Na ushamba wa waliopita/aliepita lakin mwenzetu sijui huko michenzani elimu mlipewa ya aina gani? Unaleta mada ya asie kuwepo, kosa la nyuma alifanyi kosa la leo kuwa sahihi. Tujifunze
 
Hazina maana wala umuhimu wowote ni kupoteza pesa na muda bure kila mgeni akija watu wanakata viuno kule ndio maisha yao
Za kienyeji,wanaochezaga kule terminal one kumuaga au kumkaribisha kiongozi
 
Labda anatuaga watanzania. Maana kumuaga CDF na IGP siyo kawaida.
 
Huyo Mh Kuna kitu alikufanya si bure, hapa anaongelewa Samia jitu inakurupuna na hayati. Magufuli anahusikaje hapa?
 

Kumsindikiza kwa gharama za nani? Au ni kwa hizi hizi tozo la shuruti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…