Huu ni ushamba, kupanga mstari kumsindikiza Rais akienda Ulaya

Huyo Mh Kuna kitu alikufanya si bure, hapa anaongelewa Samia jitu inakurupuna na hayati. Magufuli anahusikaje hapa?

Jifunze kuvumilia ukweli, hii tabia ilisimikwa mizizi kipindi cha dhalimu.
 
Mzee John Aloyce Maganga, hiyo ni sehemu ya kazi yao. Polisi na TISS, kamata hii mbuzi kwa kudhihaki viongozi. Namba yake ninayo pia kama mkihitaji.
 
Ipi bora, kupanga fokeni mahakamani upate posho shilingi 5,000/= kwa siku za mabeberu, au umsindikize Mama yako safari?
 
Ungetuwekea na picha za Marais wa nchi zingine wanaaganaje?kama Kenya, Rwanda, marekani, Korea nk
 
Mzee John Aloyce Maganga, hiyo ni sehemu ya kazi yao. Polisi na TISS, kamata hii mbuzi kwa kudhihaki viongozi. Namba yake ninayo pia kama mkihitaji.
I’ll knock you the fcuk out…
 
Ngoja nikakushtaki Polisi kwa kudhalilisha viongozi wakuu wa Serikali. Jina lako na namba ya simu ninavyo.
You actually think that’s my real phone number and my real name?

You are dumber than you look 🤣🤣🤣
 
Sijui bhana labda tunatofautiana uelewa,kwa uelewa wangu nchi sio kibandaumiza kwamba ukiwa kama mkuu wa nchi usafiri bila kuketi na wasaidizi wako wote wa sekta nyeti za nchi na kuwaachia majukumu.
Naam kuketi na kuachiana majukumu sio kupanga mstari na kuagana na kupungiana mikono...., moja lina tija na halina gharama la pili huenda ikiwa ni matumizi mabovu ya muda au pesa pia kama hao watasema walikuwa kwenye majukumu ya kiofisi
Kusindikizana hata kama kila mtu anatumia gari lake na gharama zake huenda hio msululu na hiyo nyomi ikawa kero na usumbufu wa watu wengine hapo waliopo kwenye shughuli zao...

Hii issue huenda isiwe kubwa kiasi hicho ila na haka kakiwa ka-utamaduni tunaweza mwisho wa mwaka tukakungudua kwamba katika miezi 12 mwezi mzima ulitumika kuagana na kupokeana airport ukizingatia hizi safari ni kila kukicha....
 
Posho wakati wa kumsindikiza na wakati wa kurudi ili wabaki hambo wasiingiwe na tamaa
 
Ukiondoa mkuu wa Mkoa, wengi hapo Vituo vyao vya kazi ni dodoma (Makao makuu). DSM wamekuja kulingana na urefu wa kamba zao(perdiem).

Mkuu hivi unafahamu huyu mama ameondoka nchini kupitia wapi?
Kwa uelewa wangu aliondoka nchini kupitia uwanja wa ndege wa Zanzibar.
Sasa unaposema dodoma sijui unamaanisha nini
 
Bado serikali ni ile ile (mama alikuwa makamu wa rais) kwa hiyo usitegemee mabadiliko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…