Huu ni utoto na ushamba. Hizi propaganda za uongo zinamsaidia nini Rais Samia?

Kwani Mnyika kakudhulumu bando lako? Mbona mwenzio mmawia anaandikaga ujinga humu na bado anarushiwa bando na katibu mkuu. Jaribu kuongeza tena chumvi kidogo huenda na ww utafikiriwa.
Umeandika nini mkuu? mbona una hasira sana post ya kwanza uli ni diss ukasema ni prove si umeona PROOF? gazeti la 2nd march limekuwa concocted mkajifanya ni la jana first of november ambalo nalo nimepost, sasa makasiriko ya nini?
KUHUSU MNYIKA KUTOA BANDO MIMI SIJUI AKINIPA KAZI NITAFANYA NA KAMA NI WEWE UNAFANYA HIZI KAZI ZA KU EDIT MAKOROKOCHO NIPE DEAL NITA EDIT KITAALAMU SANA
 
Duhh...

Mbona unateseka sana.

Achana naoo. Pambana na yako mkuu.
 
Umeandika nini mkuu? mbona una hasira sana post ya kwanza uli ni diss ukasema ni prove si umeona PROOF? gazeti la 2nd march limekuwa concocted mkajifanya ni la jana first of november ambalo nalo nimepost, sasa makasiriko ya nini?
KUHUSU MNYIKA KUTOA BANDO MIMI SIJUI AKINIPA KAZI NITAFANYA NA KAMA NI WEWE UNAFANYA HIZI KAZI ZA KU EDIT MAKOROKOCHO NIPE DEAL NITA EDIT KITAALAMU SANA
Ok mkuu.
 
Inasikitisha sana kuna machawa pro max wa kiwango cha dunia, alivyokuwa new york wali edit screens za matangazo za Times Square, cha ajabu nini hadi mu edit? Si hela ilipwe tu tangazo liruke kwenye zile screens Ali Kiba, Diamond, Zuchu matangazo ya albamu zao yasharuka sana

Sasa kubwa zaidi wamechukua gazeti kubwa la Scotland liitwalo the Scotsman la March 1 2021 waka-edit na kupachika maneno yao yenye english shallow na fonts tofauti zinazotumika na kuweka habari yao wakijifanya ni la 1/11/2021

Ni kina nani hawa jamani toba, mbona hii nchi ina ushamba sana? Ukiangalia juu kulia utaona habari ya mskochi aitwaye Ian st John mchezaji wa zamani wa Liverpool aliyefariki mwezi wa pili mwishoni, kuna habari ya interview ya Andy Murray ya mwezi wa tatu, kuna habari za matumaini kwamba lockdown inakaribia kuisha

Sasa siku nyingine mki edit tafuteni website za kuulizia wahat font is this,chukua kipande cha gazeti linganisha fonts basi na english inyooke

***nitasikitika sana kama kuna watu watakuwa wanalipwa kwa kazi hizi za makorokocho nilidhani huu ujinga uliishia awamu ya tano hadi TBC wakatangaza ile habari ya trump

*UPDATED, GAZETI LA SCOTSMAN MARCH MWAKA HUU WALILO EDIT, NA GAZETI HALISI LA JANA NOVEMBER MOJA

View attachment 1995639View attachment 1995640

View attachment 1995586
Well said. Ila acahan kabisa na Awamu ya Tamno Hayati hatoki Sayari hii. Tuulizeni tuliokuwa tunasafiri nchi za nche. Mtu hajatoa mguu wake Nchini mpaka mtoto mdogo anamfahamu. Niko nje sasa hivi sijaulizwa kitu chochote!
 
Ndio watu wajue hata Mbowe kesi yake ni ya kusingiziwa/kutengenezwa.
 
Inasikitisha sana kuna machawa pro max wa kiwango cha dunia, alivyokuwa new york wali edit screens za matangazo za Times Square, cha ajabu nini hadi mu edit? Si hela ilipwe tu tangazo liruke kwenye zile screens Ali Kiba, Diamond, Zuchu matangazo ya albamu zao yasharuka sana

Sasa kubwa zaidi wamechukua gazeti kubwa la Scotland liitwalo the Scotsman la March 1 2021 waka-edit na kupachika maneno yao yenye english shallow na fonts tofauti zinazotumika na kuweka habari yao wakijifanya ni la 1/11/2021

Ni kina nani hawa jamani toba, mbona hii nchi ina ushamba sana? Ukiangalia juu kulia utaona habari ya mskochi aitwaye Ian st John mchezaji wa zamani wa Liverpool aliyefariki mwezi wa pili mwishoni, kuna habari ya interview ya Andy Murray ya mwezi wa tatu, kuna habari za matumaini kwamba lockdown inakaribia kuisha

Sasa siku nyingine mki edit tafuteni website za kuulizia wahat font is this,chukua kipande cha gazeti linganisha fonts basi na english inyooke

***nitasikitika sana kama kuna watu watakuwa wanalipwa kwa kazi hizi za makorokocho nilidhani huu ujinga uliishia awamu ya tano hadi TBC wakatangaza ile habari ya trump

*UPDATED, GAZETI LA SCOTSMAN MARCH MWAKA HUU WALILO EDIT, NA GAZETI HALISI LA JANA NOVEMBER MOJA

View attachment 1995639View attachment 1995640

View attachment 1995586
Yale yale ya Mwendazake.

Hawa madungaembe walizoea kuishi kwa uongo. Teknolojia inawaacha nyuma.
 
Ni kweli hata haya maneno ya kina Mbowe, Lisu na genge lao kudai kuwa Lowasa ni fisadi, ilikuwa ni edit yetu pia. Wao hawakuwahi kutamka maneno hayo ndio maana walimpigia deki barabara 2015.

View attachment 1995619
Umepitwa na wakati masikini ya Mungu.

Endelea kuhamasisha wenzako muendelee kuwaburudisha kina chakubanga hapo lumumba.
368962195.jpg
 
Back
Top Bottom