Huu ujasiri kwenye mahusiano tunao wachache hapa Tanzania

Mtani mwanga pesa hakuna demu wa bure tu na wala hauna mpango wa kuoa .

Kamchumba mbona hautokei nakusubiri, mwenzio nimekumisi mamilooooooo nakupenda mimi msela sio bishoooo 🎡 🎢 ephen_ πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
We mchaga una mapenzi ya kizaramo sana🀣🀣🀣
 
We mchaga una mapenzi ya kizaramo sana🀣🀣🀣
Hahaha hakuna mchaga fala mtani , tunajua kuwajali wanawake na kuwapa mahaba ndio maana unaona japo tuna eneo dogo ila wachaga ni wa tatu kwa idadi ya watu TzπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wengi Watasema "umepigwa na kitu kizito" ila me naona akili imeanza kufanya kazi.

Mimi nakubaliana na wewe kuushinda moyo wako na akili na nafsi kusimama mahala pake.

Huo ujasiri wa kumwambia hivyo hyo ni nafsi Yako imesema yani yapo ndyo wewe halisi.

Project nyingi zinakuwa na hasara katika maisha yetu nenda tu kaanzishe new project buddah.
 
As long as hujala mzigo, ulieliwa ni wewe.

Kuonyesha kuwa huna umuhimu wowote kwake ni hilo jibu la mwisho la 'ok'. Halina maelezo wala majutoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ila ujue oga Bartazar hupati, ndio historia, huyo kama nesi kuna mkuu wa kitengo anatumia hapo ofsini kwao. Wewe ni kama Extracurricular activities tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…