Huu umeme wamekata nchi nzima?

Huu umeme wamekata nchi nzima?

Daaaaah Raha sana kuongoza nchi hii kama KIZIMKAZI hapa yy hawazi kitu chchte kuhusu watanganyika.

YY kusafiri TU ndio Raha kwake na sio kuwatumikia watanganyika.
 
Hameni huko hapafai😀
Mwaka huu hauishi nahama, haiwezekani mie nishindwe kuto mba kisa umeme.

Hawa tanesco akili zao sijui vipi, usikute mtu katuma nauli ya uber demu anatoka tegeta nyuki kuja kigamboni.. Halafu wao wanakata umeme.. Huku ni kufelishana 😂
 
Hakuna namna sasa nendeni bafuni..raha kuwe na shower kama ni ndoo mmh
 
Kanda ya Ziwa na kaskazini karibu kote..
Ni tatizo dogo, kuna Samaki ameingia kwenye turbines inashindwa kuzunguka.
Hahaaaa ,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] tanesco akili ya kuzalisha umeme kwa tidal waves waitolee wapi mbwa hawa ? , kama rudimental technology ya kuzalisha umeme kwa hydro( maporomoko na mito ) , technology ya kizamani hivi inawashinda mbwa hawa
Hiyo ya kutumia mawimbi ya maji kwenye bahari au maziwa si ndio watakuwa wanasema nyangumi na dagaa wamevamia na kuharibu turbines za kufua umeme ?
TANESCO ni shirika linaloongozwa na wapumbavu na vilaza ,msitegemee chochote hapo
 
Hakuna namna sasa nendeni bafuni..raha kuwe na shower kama ni ndoo mmh
Maswala ya ndoo kuinama na kuokota kopo, hilo goli lenyewe si litakuwa haliji.. 🤣😂

Shower ndio msaada pekee hapa.
 
Hahaaaa ,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] tanesco akili ya kuzalisha umeme kwa tidal waves waitolee wapi , kama rudimental technology ya kuzalisha umeme kwa hydro( maporomoko na mito ) , technology ya kizamani hivi inawashinda mbwa hawa
Hiyo ya kutumia mawimbi ya maji kwenye bahari au maziwa si ndio watakuwa wanasema nyangumi na dagaa wamevamia na kuharibu turbines za kufua umeme ?
TANESCO ni shirika linaloongozwa na wapumbavu na vilaza ,msitegemee chochote hapo
Hahaa ila boss umeme wa Maji ndio Rahisi zaidi kuuendesha ila gharama Sanaa kwenye utengenezaji..
Tidal waves sio complicated sana.
 
Back
Top Bottom