CONTRARIAN
JF-Expert Member
- Jun 21, 2023
- 982
- 3,137
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maisha bila unafiki hayaendi
Ngoja nimuulize mwa J wa mbagala, mbwa yule aliniambukiza uti grade 1 gizani umeme ulipo katika..😎
umekata nipo gesti mazee dah
Hata hapa magogoni wamekataa nimesikia na sonyo kali na laaana kutoka kwa Mama kizimkaz 🤣🤣🤣🤣Nchi nzima umekata kasoro magogoni tu kwa maza wao
Mwaka huu hauishi nahama, haiwezekani mie nishindwe kuto mba kisa umeme.Hameni huko hapafai😀
Hakuna namna sasa nendeni bafuni..raha kuwe na shower kama ni ndoo mmhMwaka huu hauishi nahama, haiwezekani mie nishindwe kuto mba kisa umeme.
Hawa tanesco akili zao sijui vipi, usikute mtu katuma nauli ya uber demu anatoka tegeta nyuki kuja kigamboni.. Halafu wao wanakata umeme.. Huku ni kufelishana 😂
Hahaaaa ,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] tanesco akili ya kuzalisha umeme kwa tidal waves waitolee wapi mbwa hawa ? , kama rudimental technology ya kuzalisha umeme kwa hydro( maporomoko na mito ) , technology ya kizamani hivi inawashinda mbwa hawaKanda ya Ziwa na kaskazini karibu kote..
Ni tatizo dogo, kuna Samaki ameingia kwenye turbines inashindwa kuzunguka.
Maswala ya ndoo kuinama na kuokota kopo, hilo goli lenyewe si litakuwa haliji.. 🤣😂Hakuna namna sasa nendeni bafuni..raha kuwe na shower kama ni ndoo mmh
Hahaa ila boss umeme wa Maji ndio Rahisi zaidi kuuendesha ila gharama Sanaa kwenye utengenezaji..Hahaaaa ,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] tanesco akili ya kuzalisha umeme kwa tidal waves waitolee wapi , kama rudimental technology ya kuzalisha umeme kwa hydro( maporomoko na mito ) , technology ya kizamani hivi inawashinda mbwa hawa
Hiyo ya kutumia mawimbi ya maji kwenye bahari au maziwa si ndio watakuwa wanasema nyangumi na dagaa wamevamia na kuharibu turbines za kufua umeme ?
TANESCO ni shirika linaloongozwa na wapumbavu na vilaza ,msitegemee chochote hapo