Huu upweke unaniathiri sana akili mpaka nayakatia tamaa maisha

Kipa
Kwahiyo huna shughuli yeyote unavyofanya huko mpaka wanawake wakukatae huingizi hata 7000 kwa siku unawanunulia vichips unakula mzigo

Kipato nachopata ni kidogo sana hata boxer tu siwezi
Hang on brother. Just hang on. Chukua ushauri ambao utakufaa na uufanyie kazi. All the best...maisha yana changamoto nyingi. Usikubali kushindwa. Never say never.
Presha ya kutaka kulindahws Kuna muda huwa nawasilimia hao watu Ata salamu yangu hawaitikii Dah, najiuliza walikuwa wanachangamkia mother kwa sababu alikuwa anawapa fursa
 
Mwanaume unakuwaje Mpweke mzee...acha kuiga iga mambo
Sema huna hela unazoziwaza kichwani ila sio Mpweke
 
Jamii zetu ni jamii duni . unabidi kuwa makini Sana na mambo yote yanayoweza kuathiri furaha yako .
Nikiwa nimelala kwenye chumba changu satano usiku Baada ya kumaliza mapambano, jirani naisikia familia ambayo ni maskini, hawana exposure yoyote lakini nawasikia wanafurahi sana na wanalala chumba kimoja watu Sita Ila kwetu tupo wachache na furaha Ata kujumuika Kula pamoja na kupeana ushauri hakuna

Hii kitu huwa inani pain sana siri ya furaha ni nini
 


Mkuu jaribu kuweka balance ktk maisha usiyachukulie serious Sana maisha.

Mara nyingi great thinker na watu wenye akili Kama nyie huwa hampati Amani hadi mkamilishe asilimia kadhaa ya malengo yenu.
 
Mkuu jaribu kuweka balance ktk maisha usiyachukulie serious Sana maisha.

Mara nyingi great thinker na watu wenye akili Kama nyie huwa hampati Amani hadi mkamilishe asilimia kadhaa ya malengo yenu.
Kweli mkuu yote ni maisha kuna wakati Nimekuja kugundua kumbe kumiliki mali sio kumiliki furaha
 
Wanadam wamekaa kinafki sana, ukiwa nacho ndo wanajiletaga kama huna huwezi ona mtu mwenye taim na wewe,

Nadhani umeshajifunza vyakutosha siku na wewe ukipata utakuwa ushajua wenye urafiki wa kweli na wa kinafki.

Pia Utakuwa ushajua mwanamke yupi ana mapenzi ya kweli na yupi ni mnafki.

Na ukishapata usikubali urafiki kirahisi usikubali mazoea ya kifala na usikubali wanafki, Kaa mbali nao kama walivo mbali na wewe sasaivi.

Cha kufanya saivi tuliza akili acha mawenge, amini ktk Imani yako omba Huku unapambana na kutunza fedha anzisha vimiradi vyako hata saluni ya kinyozi, ufugaji, na mengineyo.

Futa kabisa mawazo na wanawake Wala usimuamini mwanamke asilimia 100,.

Kama unataka kuoa tafuta mwanamke saizi yako wa viwango vyako wapo Tena wengi wazuri tuu, ila sio kwamba eti ndo umuamini kivileee. Mshirikiane nae kumeki family.
 
I Kuna siku nilitaka kuandika Jina langu kwenye daftari la wanazengo misiba mwenye kiti akasema utaweza kulipa hizo hela misiba ikitokea au ni kujaza tu daftari la zengo nikawaza hivi Ina maana muone kano wa mtu ndo kiasi cha pesa anachomiliki🥶


Ghafla Ata wale ndugu wakaanza kupukutika kidogo kidogo nikakumbuka mother aliwahi kunitonya mwezi kabla hajafa watu ambao natakiwa kujua ndo familia yangu ya kweli
 
Kipa

Kipato nachopata ni kidogo sana hata boxer tu siwezi
Presha ya kutaka kulindahws
Kuna muda huwa nawasilimia hao watu Ata salamu yangu hawaitikii Dah, najiuliza walikuwa wanachangamkia mother kwa sababu alikuwa anawapa fursa
Majibu yako yanafikirisha sana. Kuna mambo naona kama ya kufikirika zaidi. Kama unawasalimia kwa ujumbe wa simu naweza kuelewa. Lakini kama ni salamu ya uso kwa uso haiingii akilini. Labda kama kuna sehemu mlitofautiana.

Reading between the lines. Umesema kipato chako hakizidi pesa ya boxer. Hapa inategemea aina ya boxer yenyewe. Lakini pia Umesema mama yako alikuwa connected na wafanyabiashara wengi ambao kwa andiko lako inaonekana walimtegemea huyo mama. Kwa vyovyote vile mama yako alikuwa anajiweza kiuchumi. Huu umaskini umekujaje? Ina maana hakuna asset yoyote ambayo aliwaachia ambayo inaweza kuwapa hatua ya kwanza mpaka 40 ili kufikia hatua ya 90?

Sioni sababu ya kuendelea kulalamikia rafiki za mama ambao hawakuwahi kuwa rafiki zako licha ya kukufahamu? Kama wangekuwa walimtenga mama yako alikuwa na sababu ya kulalamika kidogo.

Ishi maisha yako na usiwatupie watu lawama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…