Huu upweke unaniathiri sana akili mpaka nayakatia tamaa maisha

Wafanyabiashara wengi sana na viongozi wenye status wengine ni uso kwa uso ukiwa salimia wanauchuna wengine ni kupitia simu nijitambulisha mimi ni mtoto wa marehemu fulani wanaruka Mita mia

Fedha niliyoachiwa pekee ni laki mbili mkuu lakini nikwambie watu walikuwa na uwezo kipindi fulani na baadae fedha zikapotea hizi story nadhani unazisikia sana
 
Potezea kama huelewi vile afu pambana ipo siku watakuheshim watapoanza kujileta na wee ndo unakuwa huna taim nao unadili na yako na kusonga mbele.
 
Tatizo linalokusumbua UNAJISTUKIA.

Ngoja nikwambie kitu.

Marafiki waliosaidiwa na mama yako they don’t owe you anything.

Iwe pesa, attention, time etc just because you expect it or feel entitled to it.

Hii ni reminder kwamba watu, kujumuisha ndugu zako, they don’t exist to meet your expectations.

Pia ukiona watu hawakuchangamkii hiyo si kwasababu hauna pesa, ni kwasababu you give off negative energy na upo kwa kulalamikia watu.

Mpaka utakapojifunza hili, hakuna kitakachobadilika.
 
Nimekuelewa sana mkuu I will change my mindset
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…