Uchaguzi 2020 Huu utaratibu wa Halima Mdee na Lema kutumia sauti zilizorekodiwa za Rais Magufuli na Askofu Gwajima haukubaliki

Uchaguzi 2020 Huu utaratibu wa Halima Mdee na Lema kutumia sauti zilizorekodiwa za Rais Magufuli na Askofu Gwajima haukubaliki

Mkuu, hapo kwenye avatar yako Meko ametumia mkorogo ama? Maana naona rangi inamkaribia dii sii wa 'wilaya ya jirani' na 'Gongo la mbali'
ni kama hii ?
FB_IMG_1600455296561.jpg
 
Lema katika kampeni zake amerekodi sauti ya Rais Magufuli wakati anamtumbua Mrisho Gambo na anawasikilizisha wananchi huku akiwashawishi kuwa Gambo hafai kuwa mbunge.

Halima Mdee naye kwenye gari lake la matangazo ya kampeni anarusha sauti ya askofu Gwajima akiponda vyeo vya uwaziri na ubunge na kutishia kuhujumu madrasa.

Binafsi nauchukulia utaratibu huu kama siyo wa halali na ninaiomba NEC na msajili wa vyama kufuatilia na kuchukua hatua.

Maendeleo hayana vyama!
Mbona mgombea wenu anasoma ilani ya CDM kwenye jukwaa lake tena saa mbili asubuh
Na yeye aache vinginevyo week ya mwisho tunatoa video ya Gwajima akimtafuna kondoo na ya akina nape wakimpga za USO jiwe
Bila kusahau voice note ya ole sendeka na Mollel zote tumetunza bwashee
 
Back
Top Bottom