gspain
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,920
- 6,081
CCM ili wakupe nafasi sifa namba moja ni uwe mbumbumbu mzungu wa reli.Eti watu kama wewe CCM hawana cheo chochote!! Kwa akili zako ulifaa kuwa Katibu mwenezi badala ya huyu muosha viatu wa sasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM ili wakupe nafasi sifa namba moja ni uwe mbumbumbu mzungu wa reli.Eti watu kama wewe CCM hawana cheo chochote!! Kwa akili zako ulifaa kuwa Katibu mwenezi badala ya huyu muosha viatu wa sasa.
😂😂😂Pilau ya ngwaji boy itaoneshwa viwanja gan na mm nisikoseNa Badoo Wiki ya Mwisho wa Kampeni tunapita na Gari la sinema tukionysha Video ya Gwajima akila Mwanakondoo(Mkono wa Baunsa)
Na jana imebuma Nyerere hakuwahi kunyanganya watu ardhi na kujimilikisha ranch kama MaguIla CCM wakitumia za marehemu Nyerere?
ni kama hii ?Mkuu, hapo kwenye avatar yako Meko ametumia mkorogo ama? Maana naona rangi inamkaribia dii sii wa 'wilaya ya jirani' na 'Gongo la mbali'
Dah ndio maana Meko hapendi upinzani, hizi spana mnazo mpiga sio za kitoto.Kwahiyo Haya maafa ya msumbiji yaliletwa na Tanzania???
Hii ndo inafaa kabisaaNyingine hii hapa
100%✔️Je, sheria ya uchaguzi inaruhusu?
[emoji23][emoji23][emoji23]ni kama hii ?View attachment 1578338
Acha utopolo.Binafsi nauchukulia utaratibu huu kama siyo wa halali na ninaiomba NEC na msajili wa vyama kufuatilia na kuchukua hatua.
Zile za Pono staring Gwajima😂🤣Na Badoo Wiki ya Mwisho wa Kampeni tunapita na Gari la sinema tukionysha Video ya Gwajima akila Mwanakondoo(Mkono wa Baunsa)
Na wewe kauli yako hiyo ni ya kifedhuli sana kwa Rais wetu!Ningekuona kuwa una 'Akili' zilizokutosha kama ungeanza 'Kuwakosoa' hao akina Rais JPM na Askofu Gwajima waache kuwa na 'Kauli' za Kifedhuli.
Mbona mgombea wenu anasoma ilani ya CDM kwenye jukwaa lake tena saa mbili asubuhLema katika kampeni zake amerekodi sauti ya Rais Magufuli wakati anamtumbua Mrisho Gambo na anawasikilizisha wananchi huku akiwashawishi kuwa Gambo hafai kuwa mbunge.
Halima Mdee naye kwenye gari lake la matangazo ya kampeni anarusha sauti ya askofu Gwajima akiponda vyeo vya uwaziri na ubunge na kutishia kuhujumu madrasa.
Binafsi nauchukulia utaratibu huu kama siyo wa halali na ninaiomba NEC na msajili wa vyama kufuatilia na kuchukua hatua.
Maendeleo hayana vyama!
Genta si Mbumbumbu.Ccm ili wakupe nafasi sifa namba moja ni uwe mbumbumbu mzungu wa reli.
Lazima heshima iwepo wasituone WaTz wote ni mazuzuZile za Pono staring Gwajima[emoji23][emoji1787]