kukwepa hizi dhahama mkuu NUNUA GARI YAKO BINAFSIInaweza ikiwa Mali ya umma au private swala la kuzingatia ni USTARABU wa watu wengine wala haliitaji kitu kiwe Chako au Cha jamii nyumba inaweza kuwa yako lakini kutudundishia mziki mkubwa saa nane za usiku ni kuharibu starehe na utulivu wa wengine.
Naomba nieleweke hapo mkuu
Jibu hoja achaa hasira za mkizi, kwani tuko hapa kujua mmiliki wa bus au Makelele ndani ya bus!!??Usumbufu???
Kwani hilo bus ni mali yako Mkuu?
Tunataka kero hii itoweke Mimi kununua gari hakuwezi kumaliza tatizokukwepa hizi dhahama mkuu NUNUA GARI YAKO BINAFSI
Sio huyo anaekuja kupigia waislam kelele ndio anamatatizo?Waislam mna matatizo sana
Sasa tumalize ubishi mkuu NUNUA bus Alafu wapige marufukuTunataka kero hii itoweke Mimi kununua gari hakuwezi kumaliza tatizo
Mapepo yamejaa kwa wagalatia kutwa kuchwa kudondoka makanisanihuu utaratibu upo Kenya, zambia ,congo na Zimbabwe ...mabus yote huwa wanaingia watumishi na wanaomba na kusepa
hamna namna vumilia tu -kama mapepo yamechukua hatamu kichwani mwako tulia tu
Uhuru gani MkuuAcha kila mtu afurahie uhuru wake pasipo kuvunja amani
Alafu Acha shobo ukiwa na gari yako binafsi hutasumbuliwa na mhubiri yoyote
Mkuu ukichoka kelele za mwenye Nyumba uamuzi sahihi ni kujenga Nyumba yako vivyo hivyo kwenye usafiri wa ummaJibu hoja achaa hasira za mkizi, kwani tuko hapa kujua mmiliki wa bus au Makelele ndani ya bus!!??
Kwani kusikiliza neno la mungu ni lazima?Ushauri wa bure kwa mleta uzi.
Nunua gari lako.
Simama mwambie aache kuhubiri
Weka earphone masikioni.
Tembea kwa mguu usipande hizo public transports
Huwa nashangaa sana mtu hataki kusikiliza neno la Mungu anataka asikilize nyimbo za akina diamondi zainazo imba weka mate iteleze kama nyoka pangoni.
Kazi kweli kweli.
Kwa hiyo kisa usafiri wa Umma ndiyo kila Mtu ajifanyie anavyotaka ndani ya bus!? Mkuu kila sehemu ina utaratibu wake,tuheshemuni hilo ili kupunguza kuwakera wenzetu!!Mkuu ukichoka kelele za mwenye Nyumba uamuzi sahihi ni kujenga Nyumba yako vivyo hivyo kwenye usafiri wa umma
Kwani kulipinga ni lazima?Kwani kusikiliza neno la mungu ni lazima?
Wanakera mno!Mtu unasafri zako unahitaji mapumzko anatokea mtu anajifanya analeta neno la Bwana bila kujua watu waliopo ndani wanatatizo gani wengine hawataki kelele anajifanya anahubiri dakika 3 anaomba sadaka.
Hebu tufanye kazi tusijifiche kwa kivuli cha kuhubiri na kulazimisha sadaka.
Hatubishani sisi hapa tunafahamishana kama watu wazima tuliostaarika ,hata nikilinunua Hilo bus Bado usumbufu hauta koma .Sasa tumalize ubishi mkuu NUNUA bus Alafu wapige marufuku
Wewe huoni anakera uhuru wa watu na kuwaingilia. Achana na porojo za mtu kuwa na gari yake hapa, haya mambo ya kuhubiri kila mahali kwenye magari ni kero sana. Pollution everywhere yani..Acha kila mtu afurahie uhuru wake pasipo kuvunja amani
Alafu Acha shobo ukiwa na gari yako binafsi hutasumbuliwa na mhubiri yoyote
Mungu akubariki sana.Mimi napenda sana mahubiri kwasababu kuna muda yananikuta sijaenda kanisani mwezi mzima hivyo nafarijika sana