klinbritetz
Senior Member
- Sep 23, 2020
- 160
- 125
mkuu usichokijua, sawa na watu wengi ni kwamba SISI ni mali ya MUNGU, yeye ndiye aliye tuumba,. Na huyu Mungu anataka kuabudiwa kila wakati na mahala popote. Mungu hawekewi mipaka wala hapangiwi muda. Shetani napotosha watu kupitia UFAHAMU na HEKIMA ya kidunia na kujiona kuwa wanaweza jipangia watakavyo wao. HEKIMA za mwanadamu ni upumbavu wa kutosha mbele za Mungu.Shida ni hizo kero Imani haiwezi Kuna tatizo kwangu kwasababu natambua kila mtu anayo haki ku-practice Imani yake lakini katika kiwango kisicho leta usumbufu kwa wengine ,ndio maana tunapiga kelele sauti za mahubiri jioni na za adhana asubuh zipunguzwe na sio zitolewe ,Kila kitu kifanyike mahala pake palipo kusudiwa
Walio wa SHETANI hawawezi mpenda Mungu wala hawatakubali kwasababu wamepofushwa fikra zao, hata kama iweje haiwezekani kuelewa kuwa MUNGU anapaswa kupendwa, kupewa kipau mbele, kusifiwa na kuinuliwa wakati WOOOTEEE.
ukiona kwako unatumia HEKIMA eti, injili ina mahala pake - jua tu nawe ni fungu moja na SHETANI(IBILISI). Hapo ni Huruma za Mungu zikufukike tu, kwakweli.