Huu utaratibu wa kuwakatia viuno wageni kwenye viwanja vya ndege nani aliuanzisha?

Brass band za vikosi vya majeshi, tena brass band ya jeshi moja inatosha. Hizi ngoma zetu mgeni atazikuta mikoani kama atatembelea huko. Mbona rais wetu akienda nje hatuoni ngoma ngoma tunaona kigwaride cha brass band tu? Tuwe standard kimataifa
jiheshimu wewe acha dharau, kwa hiyo wa mikoani ndio wakate Mauno.!
 
Lols! Kwani mauno ni aibu jamani? Eti b...? Viuno ni burudani ya kipekee ya kuchangamsha ubongo au inabidi yafichwe?

Ova
Kwahiyo b… huwa unachangamshwa ubongo na yale mauno kama wendawazimu? Lol
Sikia, sikatai maana ule ni utamaduni wetu. Ila, pale airport sio sehemu sahihi.

Mgeni akishuka apokelewe kwa namna nyingine hata kijeshi sawa, baadae jioni wanaweza kupata chakula na wageni ndipo hizo ngoma zikawepo sasa kama burudani.

Ila sio airport jamani! Mgeni anashuka anashangaa mandhari mapya akili haijatulia mnazidi kumvuruga na mingoma!
 
walianzisha wazungu wenyewe hasa waingereza wakati wa ukoloni kwamba mwafrika kazi yake kupiga ngoma ku entertain mzungu wanafanya wote hata kenya, uganda au ghana, kenya hata huita wamasai na kuanza kuruka juu ku entertain mzungu.

Bottom line kila kitu ambacho serikali inafanya imekirithi ktk kwa mzungu wakati wa ukoloni usisahau kwamba serikali ni mkoloni kasoro rangi ndo maana jeshi wanapiga watu weusi kama wakati wa ukoloni, jeshi la tanzagiza haliwezi gusa muhindi au mwarabu kwa maana wamekuwa trained kuwalinda wahindi na waarabu na ku adhibu mweusi, kwa serikali ya tanzagiza mtu mweusi ni adui na mwovu wamerithi hiyo system …
S.A napo Vipi Wanafanya au Ni nchi zote Za watu weusi?
 
Ukweli ulio mchungu
 
Sahihi....wakati wa uhuru, tulibadili uongozi kutoka kwa weupe kwenda kwa weusi, lakini utaratibu wa kuongoza ukbaki vilevile. Kwakuwa system hii inaki favour CCM, wameikumbatia.
 
Brass band za vikosi vya majeshi, tena brass band ya jeshi moja inatosha. Hizi ngoma zetu mgeni atazikuta mikoani kama atatembelea huko. Mbona rais wetu akienda nje hatuoni ngoma ngoma tunaona kigwaride cha brass band tu? Tuwe standard kimataifa
Watu wanatengeneza mianya ya maokoto
 
Kwahiyo b… huwa unachangamshwa ubongo na yale mauno kama wendawazimu? Lol
Sikia, sikatai maana ule ni utamaduni wetu. Ila, pale airport sio sehemu sahihi.

Mgeni akishuka apokelewe kwa namna nyingine hata kijeshi sawa, baadae jioni wanaweza kupata chakula na wageni ndipo hizo ngoma zikawepo sasa kama burudani.

Ila sio airport jamani! Mgeni anashuka anashangaa mandhari mapya akili haijatulia mnazidi kumvuruga na mingoma!
Anhaa, nimekuelewa b...! Kwa hiyo shida mauno kuwahishwa mno kwa wageni, ilibidi wayapate wakiwa wameshapumzika?

Yes b…, pale airport hapana inaleta picha mbaya kwanza ni kupoteza muda tunaonekana hatuko serious.

Halafu kuwahishwa hiyo vipi? Lol
 
🔷 Ni vyema Mgeni anapofika kwako kwa mara ya kwanza akapokelewa na utamaduni wenu

🔷 Mimi sipingi wageni kupokelewa na burudani wanapofika kwenye malango ya nchi yetu ni jembo jema Sana na la kiungwana

🔷Lakini je! Wanaowapokea wanawawakilisha utamaduni halisi wa kabila lolote la Mtanzania?

🔷 Tanzania tuna ngoma ya asili ya matarumbeta? Tanzania tuna ngoma ambayo watu wanavaa sare kama waimba kwaya?

🔷 Ngoma ninazozijua Mimi watu wanavaa mangozi, manyoya ya wanyama, maleba, njuga , sura za vinyago na kujipaka mavumbi mazizi na makorokocho ya kutisha huku wakichezea wanyama pori kama nyoka, fisi nk huku manyu akitamba mbele kwa kujirusha au kupiga ngoma kwa tumbo makalio nk hata mtoto mdogo akiona analia au Mgeni akiona anajua amefika nchi ya kiumeni Afrika.

🔷Sasa wapo wajanja wajanja wa hapo Dar eti wsnapuliza matarumbeta au wale wa chuo Cha bagamoyo wanaocheza ngoma zilizochakachuliwa na utamaduni wa wazungu wa Scandinavia ndio eti wanatambulisha utamaduni wa bongo

🔷 Doctor Mapanaa naamini upo huku unanisoma, kama uliwaimbisha wazungu kigogo huko ulaya na wakaimba na kucheza kweli unashindwa kutafuta kikundi halisi Cha ngoma Kupokea wageni wetu ? Unashindwa kweli kwenda singida Kuna wanyaturu wanaocheza Mawindi, wagogo wapo Dodoma na mbwembwe zao, shinyanga Kuna maguno ya Jeshi, Mwanza Kuna Mwanalyaku, , bujora na Ukerewe vipo vikundi halisi vya ngoma achana na vidogoli vya wajita na wakerewe wale watachelewesha mambo maana wanaongea Sana mpaka waje wskatike sio Leo. Mara Kuna watu watatikisa vichwa yule jamaa wa Kenya wa kuandamana usiku Cha mtoto

🔷Morogoro Kuna vitu vya hatari, kusini ndio usiseme Sindimba, mganda nk .

🔷 Kaskazini Kuna wamasai wanaruka juu balaa na ni marafiki wakubwa wa watalii, Tanga Kuna ngoma zao nyingi tuu, acha zile zinazochezwa na wanawake Kuna zile za wawindaji ( naukala ndima) zima mvuto wa kipekee, Wachaga achana nao wamedanganywa na dini na kuambiwa Mila na ngoma zao ni za kizamani. Wameacha ngoma zao za kuzunguka kama mduara Sasa wamekuwa kama watumwa wakienda nje wakiambiwa waonyeshe utamaduni wao wanajifanya wamasai kama mwijaku.

🔷 Hivi doctor Mapanaa na Wizara ya utamaduni hamuoni hata ngoma za wahaya wanavochenkula?

🔷Nchi likubwa kama hili tunashindwa kufanya venting ya kikundi Cha ngoma ambacho Mgeni akiona ataendelea kuota Maisha yake yote? Shida nini? Kama NDEGE tunayo tunadondwa kusafirisha vikundi vya ngoma na makorokoro Yao yote tena wakiwa kwa wingi wao na sio watu wachache tukaitamgaza nchi yetu baadaye tukapata return ya utalii wa kitamaduni? Mama naomba uteuzi Mimi avogadro kwenye Wizara ya utamaduni , Mimi nita deal na utamaduni tuu hii michezo imeimeza na ndani ya mwaka utamaduni utaamka na tutaamza kushuhudia mafurikonya watalii
 
walianzisha wazungu wenyewe hasa waingereza wakati wa ukoloni kwamba mwafrika kazi yake kupiga ngoma ku entertain mzungu wanafanya wote hata kenya, uganda au ghana, kenya hata huita wamasai na kuanza kuruka juu ku entertain mzungu.

Bottom line kila kitu ambacho serikali inafanya imekirithi ktk kwa mzungu wakati wa ukoloni usisahau kwamba serikali ni mkoloni kasoro rangi ndo maana jeshi wanapiga watu weusi kama wakati wa ukoloni, jeshi la tanzagiza haliwezi gusa muhindi au mwarabu kwa maana wamekuwa trained kuwalinda wahindi na waarabu na ku adhibu mweusi, kwa serikali ya tanzagiza mtu mweusi ni adui na mwovu wamerithi hiyo system …
Ukweli mchungu sana mkuu.
 
Jacob zuma anapendaga hizi ngoma, kule zulu land wanakata mauno nono zikiwa njenje,
 
Yes b…, pale airport hapana inaleta picha mbaya kwanza ni kupoteza muda tunaonekana hatuko serious.

Halafu kuwahishwa hiyo vipi? Lol
Lols! Ni kwamba kuna muda na maeneo ambayo mauno yanakuwa muafaka kwa kuyanyonga hadi kuburudisha hisia.

Ova
 
Brass band za vikosi vya majeshi, tena brass band ya jeshi moja inatosha. Hizi ngoma zetu mgeni atazikuta mikoani kama atatembelea huko. Mbona rais wetu akienda nje hatuoni ngoma ngoma tunaona kigwaride cha brass band tu? Tuwe standard kimataifa
Sidhani kama upo sahihi nawala sidhani kama unahitaji msaada wa kueleweshwa, kwa maana hii baki na ujinga wako.
 
🔷 Ni vyema Mgeni anapofika kwako kwa mara ya kwanza akapokelewa na utamaduni wenu

🔷 Mimi sipingi wageni kupokelewa na burudani wanapofika kwenye malango ya nchi yetu ni jembo jema Sana na la kiungwana

🔷Lakini je! Wanaowapokea wanawawakilisha utamaduni halisi wa kabila lolote la Mtanzania?

🔷 Tanzania tuna ngoma ya asili ya matarumbeta? Tanzania tuna ngoma ambayo watu wanavaa sare kama waimba kwaya?

🔷 Ngoma ninazozijua Mimi watu wanavaa mangozi, manyoya ya wanyama, maleba, njuga , sura za vinyago na kujipaka mavumbi mazizi na makorokocho ya kutisha huku wakichezea wanyama pori kama nyoka, fisi nk huku manyu akitamba mbele kwa kujirusha au kupiga ngoma kwa tumbo makalio nk hata mtoto mdogo akiona analia au Mgeni akiona anajua amefika nchi ya kiumeni Afrika.

🔷Sasa wapo wajanja wajanja wa hapo Dar eti wsnapuliza matarumbeta au wale wa chuo Cha bagamoyo wanaocheza ngoma zilizochakachuliwa na utamaduni wa wazungu wa Scandinavia ndio eti wanatambulisha utamaduni wa bongo

🔷 Doctor Mapanaa naamini upo huku unanisoma, kama uliwaimbisha wazungu kigogo huko ulaya na wakaimba na kucheza kweli unashindwa kutafuta kikundi halisi Cha ngoma Kupokea wageni wetu ? Unashindwa kweli kwenda singida Kuna wanyaturu wanaocheza Mawindi, wagogo wapo Dodoma na mbwembwe zao, shinyanga Kuna maguno ya Jeshi, Mwanza Kuna Mwanalyaku, , bujora na Ukerewe vipo vikundi halisi vya ngoma achana na vidogoli vya wajita na wakerewe wale watachelewesha mambo maana wanaongea Sana mpaka waje wskatike sio Leo. Mara Kuna watu watatikisa vichwa yule jamaa wa Kenya wa kuandamana usiku Cha mtoto

🔷Morogoro Kuna vitu vya hatari, kusini ndio usiseme Sindimba, mganda nk .

🔷 Kaskazini Kuna wamasai wanaruka juu balaa na ni marafiki wakubwa wa watalii, Tanga Kuna ngoma zao nyingi tuu, acha zile zinazochezwa na wanawake Kuna zile za wawindaji ( naukala ndima) zima mvuto wa kipekee, Wachaga achana nao wamedanganywa na dini na kuambiwa Mila na ngoma zao ni za kizamani. Wameacha ngoma zao za kuzunguka kama mduara Sasa wamekuwa kama watumwa wakienda nje wakiambiwa waonyeshe utamaduni wao wanajifanya wamasai kama mwijaku.

🔷 Hivi doctor Mapanaa na Wizara ya utamaduni hamuoni hata ngoma za wahaya wanavochenkula?

🔷Nchi likubwa kama hili tunashindwa kufanya venting ya kikundi Cha ngoma ambacho Mgeni akiona ataendelea kuota Maisha yake yote? Shida nini? Kama NDEGE tunayo tunadondwa kusafirisha vikundi vya ngoma na makorokoro Yao yote tena wakiwa kwa wingi wao na sio watu wachache tukaitamgaza nchi yetu baadaye tukapata return ya utalii wa kitamaduni? Mama naomba uteuzi Mimi avogadro kwenye Wizara ya utamaduni , Mimi nita deal na utamaduni tuu hii michezo imeimeza na ndani ya mwaka utamaduni utaamka na tutaamza kushuhudia mafurikonya watalii
Ulitaka tupeleke ritungu la kikurya? Au majoka ya wasukuma, ngoma ya kibati iko poa kabisa, kwanza wazungu wanapagawa sana na viuno,
 
Back
Top Bottom