ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Na Mimi hiyo ndio concernWengine wanaenda ili wasaini pesa za safari.
Sawa,na wao waingie front kisaidia wasikae ndani ya mavxr yao tuUwepo wa wakubwa unaongeza morale na uchapakazi wa wadogo,
Kwa kiasi fulan inasaidia hususani kwa janga kubwa kama hili kuliko kubaki ofisin kula kiyoyozi
π ππ€£ππππSi ndo nyie mlitaka maza arudi ili aende Hanang?
UpuuziDharura inahudumiwa ndani au chini ya saa 12.
Hivi sasa ni kwenda kudhibitisha yaliyotokea.
Mtoa mada viongozi wanaenda na vyeo vyao kuonekana.
Tusubiri "matamko"
Inawezekana ni maandalizi ya maza kutua huko hao maofisa wengine wanatangulia ili kuweka mazingira sawaπππ ππ€£ππππ
Wapi nimesema nataka Rais arudi? Rais ni taasisi awepo au asiwepo mambo.lazima yaendelee.Si ndo nyie mlitaka maza arudi ili aende Hanang?
Kuna ambao wamejazana kwenye uzi mmoja wakitaka maza arudi.Wapi nimesema nataka Rais arudi? Rais ni taasisi awepo au asiwepo mambo.lazima yaendelee.
Ni mbumbumbu wa Chadema haoKuna ambao wamejazana kwenye uzi mmoja wakitaka maza arudi.
Najua sio wewe mkuu, nilikuwa nakutania.
Njaa Tu Zimewapeleka Hawana Lolote WafanyaloInawezekana ni maandalizi ya maza kutua huko hao maofisa wengine wanatangulia ili kuweka mazingira sawaππ
BBC Wako mubasharaSijasema wakubwa wasiende ila napenda watakaokuwa front ndio watangulie plus Mahitaji ya Waathirika badala ya kwenda kuleta taharuki nyingine.
Huko PM yupo
Mkuu wa Majeshi yupo
Mawaziri wapo
Na wengine wanaendelea kumikinika ,Sasa sijajua Kama Kasi ya wakubwa kumikinika inaendana na Kasi ya Uokoaji.
Mlioko eneo la tukio tuambieni kama mnapata mahitaji stahiki kuanzia tiba,mahema,vyakula,maji,nk?
Pia soma > Manyara UPDATE: Waliofariki kwa Mafuriko Wilayani Hanang wafikia 49
View: https://www.instagram.com/reel/C0bT4S4MZw8/?igshid=NmJiYWZiY2E0Mg==