Huu Utitiri wa Maofisa wa Serikali kwenda Hanang, Wanaenda Kufanya Uokoaji au Kuonekana?

Sioni hata watu wakipewa chakula maji, mablanketi Naona wanauza Sura Tu.
Kuna mkubwa ameulizwa je serikali imejifunza nini kutokana na hili tukio akajibu "...aaaaa aaaa aa aaa ukweli huu mlima una slope kubwa sana"
 
Sijasema wakubwa wasiende ila napenda watakaokuwa front ndio watangulie plus Mahitaji ya Waathirika badala ya kwenda kuleta taharuki nyingine.

Huko PM yupo
Mkuu wa Majeshi yupo
Mawaziri wapo

Na wengine wanaendelea kumikinika ,Sasa sijajua Kama Kasi ya wakubwa kumikinika inaendana na Kasi ya Uokoaji.

Mlioko eneo la tukio tuambieni kama mnapata mahitaji stahiki kuanzia tiba,mahema,vyakula,maji,nk?

Pia soma > Manyara UPDATE: Waliofariki kwa Mafuriko Wilayani Hanang wafikia 49

View: https://www.instagram.com/reel/C0bT4S4MZw8/?igshid=NmJiYWZiY2E0Mg==

Mfuko wa maafa wa Ofisi ya Waziri Mkuu una mabilioni yakutosha yamekaa, kwa siku hapo mtu ni 250,000 x 14 = 3,500,000, X-mas hii mkuu watu wanajianda nayo vizuri na hawakai siku 14 ni siku 2 wamegeuza
 
Fedha nyingi itatumika kulipa posho wakubwa badala ya wahanga na waokoaji
Ndio ujinga wa Watanzania,hatuna standby response team ya mambo haya licha ya TMA kuanza kutoa utabiri kabla ya mvua kuanza.
 
we ka
Sijasema wakubwa wasiende ila napenda watakaokuwa front ndio watangulie plus Mahitaji ya Waathirika badala ya kwenda kuleta taharuki nyingine.

Huko PM yupo
Mkuu wa Majeshi yupo
Mawaziri wapo

Na wengine wanaendelea kumikinika ,Sasa sijajua Kama Kasi ya wakubwa kumikinika inaendana na Kasi ya Uokoaji.

Mlioko eneo la tukio tuambieni kama mnapata mahitaji stahiki kuanzia tiba,mahema,vyakula,maji,nk?

Pia soma > Manyara UPDATE: Waliofariki kwa Mafuriko Wilayani Hanang wafikia 49

View: https://www.instagram.com/reel/C0bT4S4MZw8/?igshid=NmJiYWZiY2E0Mg==

we kafanye shughuli zako mambo mengine huyajui na hayakuhusu. Ndio maana watu wengine mnakufa maskini, unatumia hiyo akili yako ndogo ktk mambo yasiyokuhusu wakati huo umeshindwa kuhangaisha hako kaakili kako kadogo kujikwamua na huo umaskini wako na wa ukoo wako.
 
Wewe umejikwamua umaskini wako na WA ukoo wako? Wewe una akili?
 
Screenshot_20231204_143224_Samsung Internet.jpg
 
Wabongo shughuli sanaaa,
Kuna uzi unalalamikia kwanin Raisi hayupo nchini, wanamtaka arudi haraka,
Tena wanahoji kwanin watu wanaenda huko 😂
 
Back
Top Bottom