Matajiri kujilinda ni kawaida nenda kaulize nchi zenye uchumi mkubwa kama Marekani,ukaone budget wanazotumia akina Elon Musk,Bezo,Marc kwa ulinzi binafsi pekee.Mtu tajiri aliyezungukwa na masikini wasio na idadi naye ni masikini tu. Hujiulizi kwann hao mnapwaita matajir wanamiliki mabunduki, fance za umeme na walinzi kibao tena kwenye nchi ya amani na ya mazuzu kama hii?
Na wewe nendaSijasema wakubwa wasiende ila napenda watakaokuwa front ndio watangulie plus Mahitaji ya Waathirika badala ya kwenda kuleta taharuki nyingine.
Huko PM yupo
Mkuu wa Majeshi yupo
Mawaziri wapo
Na wengine wanaendelea kumikinika ,Sasa sijajua Kama Kasi ya wakubwa kumikinika inaendana na Kasi ya Uokoaji.
Mlioko eneo la tukio tuambieni kama mnapata mahitaji stahiki kuanzia tiba,mahema,vyakula,maji,nk?
Pia soma > Manyara UPDATE: Waliofariki kwa Mafuriko Wilayani Hanang wafikia 49
---
PICHA: BAADHI YA VIONGOZI WALIOZULU HANANG
View attachment 2833818View attachment 2833819
hujaona kasoro?Wabongo kwa kulalamika tupo vizuri, hamna jema kabisa kila kitu lazima mkitie kasoro. Tubadilike
Mkuu hebu weka picha za hayo mavii eit yao waliokwenda kujipiga picha kwenye eneo la maafa tuwajueRaia wanahitaji misaaada na sio wingi wa viongozi kwenda kupiga picha eneo la tukio.
Kufa kufaana.Hii ni comment ya BLACK MOVEMENT kwenye uzi Hanang imeniumiza kweli.
Hivi sisi watu weusi tunashida gani?
Mdau mmoja aliopo eneo la tukio kule Hanang anasema kuna zaidi ya V8 78 za viongozi mbalimbali hadi sasa hivi, huku kukiwa hakuna vifaa maalumu ya uokoaji huku walio athiriwa wakiambiwa watafute hifadhi kwa ndugu jamaa na marafiki. Wananchi wanafanya kuhesanu V8 barabarani kwa sasa.
V8 zinafanya kupishana Hanang, huku kukiwa hakuna vifaa vya kufanya uokoaji, kukiwa hakuna mahema ya wahanga na kukiwa hakuna Chakula cha wahanga zaidi ya wahanga kwenda kuomba chakula kwa nduhu na jamaa na marafiki.
Serikali inangoja kuzika walio kufa kwa kugharamikia majeneza huku walio hai wakiendelea kutaaabika bila msaada wowote ule.Viongozi wanaenda kupiga picha kule na kuonekana walikuwepo eneo la tukio.
Raia wanahitaji misaaada na sio wingi wa viongozi kwenda kupiga picha eneo la tukio.
Jinsi sisi weusi tulivyowaajabu usishangae mods kuunganisha.
Na kule kwa mama mzuguuDELUXE BAR Katesh huduma kama zote
Wanaotakiwa kwenda kwa wingi ni wale wenye kazi maalumu za UOPOAJI na watoa huduma muhimu kwa wahanga, siyo wanasiasa kama inavyofanyika hivi sasa.Wasipoenda mtasema hawajali, wameenda mnasema wameenda kuzurura
🤣🤣Sijui kwann hayo mafuriko yasiwasombe na ma v8 yao kudadek
Mdau aliyepo huko amesema.Mdau mmoja aliopo eneo la tukio kule Hanang anasema kuna zaidi ya V8 78 za viongozi mbalimbali hadi sasa hivi, huku kukiwa hakuna vifaa maalumu ya uokoaji huku walio athiriwa wakiambiwa watafute hifadhi kwa ndugu jamaa na marafiki. Wananchi wanafanya kuhesanu V8 barabarani kwa sasa
Nani atawasimamia hao watoa huduma..?Wanaotakiwa kwenda kwa wingi ni wale wenye kazi maalumu za UOPOAJI na watoa huduma muhimu kwa wahanga, siyo wanasiasa kama inavyofanyika hivi sasa.
Maboss wao ktk Taassi zao walikoajiriwa. Kama ni Wanajeshi basi watasimamiwa na Makamanda wao wa Vikosi vya Jeshi, kama ni Manesi au Madaktari, basi watasimamiwa na Viongozi wao ambao pia ni Madaktari wa Tiba. Je, una hoja nyingine zaidi???Nani atawasimamia hao watoa huduma..?
Unaweza kuta wewe ndio Bashungwa eti upo zako kwenye Helicopter unaokoa watu.Wabongo kwa kulalamika tupo vizuri, hamna jema kabisa kila kitu lazima mkitie kasoro. Tubadilike