Kuna mkubwa ameulizwa je serikali imejifunza nini kutokana na hili tukio akajibu "...aaaaa aaaa aa aaa ukweli huu mlima una slope kubwa sana"Sioni hata watu wakipewa chakula maji, mablanketi Naona wanauza Sura Tu.
Mfuko wa maafa wa Ofisi ya Waziri Mkuu una mabilioni yakutosha yamekaa, kwa siku hapo mtu ni 250,000 x 14 = 3,500,000, X-mas hii mkuu watu wanajianda nayo vizuri na hawakai siku 14 ni siku 2 wamegeuzaSijasema wakubwa wasiende ila napenda watakaokuwa front ndio watangulie plus Mahitaji ya Waathirika badala ya kwenda kuleta taharuki nyingine.
Huko PM yupo
Mkuu wa Majeshi yupo
Mawaziri wapo
Na wengine wanaendelea kumikinika ,Sasa sijajua Kama Kasi ya wakubwa kumikinika inaendana na Kasi ya Uokoaji.
Mlioko eneo la tukio tuambieni kama mnapata mahitaji stahiki kuanzia tiba,mahema,vyakula,maji,nk?
Pia soma > Manyara UPDATE: Waliofariki kwa Mafuriko Wilayani Hanang wafikia 49
View: https://www.instagram.com/reel/C0bT4S4MZw8/?igshid=NmJiYWZiY2E0Mg==
Ni nchi ya hovyo sn hiiWakitoka hapo wanakwenda kununua magoli mechi za Simba na Yanga.
Ndio ujinga wa Watanzania,hatuna standby response team ya mambo haya licha ya TMA kuanza kutoa utabiri kabla ya mvua kuanza.Fedha nyingi itatumika kulipa posho wakubwa badala ya wahanga na waokoaji
.Wakitoka hapo wanakwenda kununua magoli mechi za Simba na Yanga.
Faraja ni kuenda na vitu vya kuwasaidia kama hivi ambavyo Wizara ya Afya wamejitajidiLazima wakawafariji ndugu zetu
Sio mbaya maana hali sio nzuri huko na hilo tope likikauka ni mtihani mwingine
Wameenda kuongeza nguvu pia kwa mfano uwepo wa mkuu wa majeshi na wahandisi hata Boss wa zimamoto ni sawa akiwa hapo
Majanga ni mtaji wa wakubwa, subiri usikie fadha watakayotaja kuwa imetumika,Ndio ujinga wa Watanzania,hatuna standby response team ya mambo haya licha ya TMA kuanza kutoa utabiri kabla ya mvua kuanza.
VX zitawashwa lanchi babati..Mkuu ni mwendo wa kwenda na kurudi ikibidi SingidaKatesh ninayoijua, sijui watakuwa wanakula na kulala wapi
Porojo zimeanzaMajanga ni mtaji wa wakubwa, subiri usikie fadha watakayotaja kuwa imetumika,
uko sahihi, watakuwa wanaenda babati ndio karibu zaidi.VX zitawashwa lanchi babati..Mkuu ni mwendo wa kwenda na kurudi ikibidi Singida
we kafanye shughuli zako mambo mengine huyajui na hayakuhusu. Ndio maana watu wengine mnakufa maskini, unatumia hiyo akili yako ndogo ktk mambo yasiyokuhusu wakati huo umeshindwa kuhangaisha hako kaakili kako kadogo kujikwamua na huo umaskini wako na wa ukoo wako.Sijasema wakubwa wasiende ila napenda watakaokuwa front ndio watangulie plus Mahitaji ya Waathirika badala ya kwenda kuleta taharuki nyingine.
Huko PM yupo
Mkuu wa Majeshi yupo
Mawaziri wapo
Na wengine wanaendelea kumikinika ,Sasa sijajua Kama Kasi ya wakubwa kumikinika inaendana na Kasi ya Uokoaji.
Mlioko eneo la tukio tuambieni kama mnapata mahitaji stahiki kuanzia tiba,mahema,vyakula,maji,nk?
Pia soma > Manyara UPDATE: Waliofariki kwa Mafuriko Wilayani Hanang wafikia 49
View: https://www.instagram.com/reel/C0bT4S4MZw8/?igshid=NmJiYWZiY2E0Mg==
Safi sana kwa kweli nimefurahi sana kuona hiloFaraja ni kuenda na vitu vya kuwasaidia kama hivi ambavyo Wizara ya Afya wamejitajidi
View: https://twitter.com/wizara_afyatz/status/1731619733382762830?t=GIelUO83hIPKxG9YD069hg&s=19
Wewe umejikwamua umaskini wako na WA ukoo wako? Wewe una akili?we ka
we kafanye shughuli zako mambo mengine huyajui na hayakuhusu. Ndio maana watu wengine mnakufa maskini, unatumia hiyo akili yako ndogo ktk mambo yasiyokuhusu wakati huo umeshindwa kuhangaisha hako kaakili kako kadogo kujikwamua na huo umaskini wako na wa ukoo wako.
Wanalala babati, Arusha au Singida mbona ni karibu tu hata wasiwazeKatesh ninayoijua, sijui watakuwa wanakula na kulala wapi
Kuna mkubwa ameulizwa je serikali imejifunza nini kutokana na hili tukio akajibu "...aaaaa aaaa aa aaa ukweli huu mlima una slope kubwa sana"
Na misaada itaibiwa na haohao.Kibaya zaidi, hawaendi bure hao, posho ya safari na marupurupu mengine watapewa.