Huu Utitiri wa Maofisa wa Serikali kwenda Hanang, Wanaenda Kufanya Uokoaji au Kuonekana?

Wengi wanaenda kupiga picha na posho za safari tu
 
Leo shughuri ilisimama kwa ajili ya kumpokea na kumtambulisha waziri mkuu, kisha wakaingia ukumbini!
 
Wakitoka hapo wanakwenda kununua magoli mechi za Simba na Yanga.
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜…๐Ÿ˜ƒ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Wanakwenda kuuza sura tu si unajua uchaguzi unakaribia
 
Umetoa wazo la maana sana kama watafuatilia. ๐Ÿ‘
 
Wazito kumiminika hanang inaendana na kasi ya kuvuta per diem-hii ndiyo njia rahisi ya kula kwa urefu wa kamba zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ