Huu Utitiri wa Maofisa wa Serikali kwenda Hanang, Wanaenda Kufanya Uokoaji au Kuonekana?

Mdau mmoja aliopo eneo la tukio kule Hanang anasema kuna zaidi ya V8 78 za viongozi mbalimbali hadi sasa hivi, huku kukiwa hakuna vifaa maalumu ya uokoaji huku walio athiriwa wakiambiwa watafute hifadhi kwa ndugu jamaa na marafiki. Wananchi wanafanya kuhesanu V8 barabarani kwa sasa.

V8 zinafanya kupishana Hanang, huku kukiwa hakuna vifaa vya kufanya uokoaji, kukiwa hakuna mahema ya wahanga na kukiwa hakuna Chakula cha wahanga zaidi ya wahanga kwenda kuomba chakula kwa nduhu na jamaa na marafiki.

Serikali inangoja kuzika walio kufa kwa kugharamikia majeneza huku walio hai wakiendelea kutaaabika bila msaada wowote ule.Viongozi wanaenda kupiga picha kule na kuonekana walikuwepo eneo la tukio.

Raia wanahitaji misaaada na sio wingi wa viongozi kwenda kupiga picha eneo la tukio.
 
Utwaita mchochezi kama huna mwanasheria msomi kaa kimya hii vita ngumu sana
 
Tanzania is crazy country police hanang wamebeba buduki kila sehemu unadhani kuna ujambazi ulio tokea, anyway you cant blame them mafunzo walio pewa ni kutesa na ku harasi raia sio ku waokoa katika majanga kama haya, Jwtz hiyo ndo kazi zao, ila utawakuta buzy kusaka nguo kwa raia zanazo fanana na sare yao.
 
Tanzania is crazy country police hanang wamebeba buduki kila sehemu unadhani kuna ujambazi ulio tokea.........anyway you cant blame them mafunzo walio pewa ni kutesa na ku harasi raia sio ku waokoa katika majanga kama haya, Jwtz hiyo ndo kazi zao, ila utawakuta buzy kusaka nguo kwa raia zanazo fanana na sare yao.
Polisi ndo kifaa chake cha kazi na kazi yao ni kulinda raia na mali zao msiwape majukumu ambayo so kazi yao jeshi la zimamoto na uokoaji ukimwona ana bunduki ndo utuambie mda mwingine tunalalamika vitu ambavyo viko wazi
 
Sema nikifaa cha police wa Tanzania nchi zingine kama wingereza sio rahisi kumkuta police na buduki, kwasbb mafunzo yao ni brains and skills "to keep law and order" not to "protect law and order" kama police wa Tanzania wengi zero brain school drop out hawana skills zozote zaidi ya kushika bunduki na kuharrasi raia wasio kua na hatia.
 
Wananchi ndio mmeruhusu Viongozi wa namna hiyo wawe madarakani.

KULALAMIKA HAKUSAIDII CHOCHOTE ZAIDI YA KUJAZA SERVER ZA TAJIRI MAX

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Sema nikifaa cha police wa Tanzania nchi zingine kama wingereza sio rahisi kumkuta police na buduki, kwasbb mafunzo yao ni brains and skills "to keep law and order" not to "protect law and order" kama police wa Tanzania wengi zero brain school drop out hawana skills zozote zaidi ya kushika bunduki na kuharrasi raia wasio kua na hatia
Mifumo ya nchi yenu ndo imemtengeneza hvyo
 
Sema nikifaa cha police wa Tanzania nchi zingine kama wingereza sio rahisi kumkuta police na buduki, kwasbb mafunzo yao ni brains and skills "to keep law and order" not to "protect law and order" kama police wa Tanzania wengi zero brain school drop out hawana skills zozote zaidi ya kushika bunduki na kuharrasi raia wasio kua na hatia
Jeshi la polisi kazi yao kuu ni kulinda raia na mali zao,je huko Hanang hakuna raia wanaotakiwa kulindwa pamoja na mali zao?
Msiwalaumu tu jamani,kuna jeshi la uokoaji,watimize wajibu wao,hali kadhalika na JW nao wapo,wasaidie kuokoa raia.Duuh! upolisi ni lawama sana.
 
Mdau mmoja aliopo eneo la tukio kule Hanang anasema kuna zaidi ya V8 78 za viongozi mbalimbali hadi sasa hivi, huku kukiwa hakuna vifaa maalumu ya uokoaji huku walio athiriwa wakiambiwa watafute hifadhi kwa ndugu jamaa na marafiki. Wananchi wanafanya kuhesanu V8 barabarani kwa sasa.

V8 zinafanya kupishana Hanang, huku kukiwa hakuna vifaa vya kufanya uokoaji, kukiwa hakuna mahema ya wahanga na kukiwa hakuna Chakula cha wahanga zaidi ya wahanga kwenda kuomba chakula kwa nduhu na jamaa na marafiki.

Serikali inangoja kuzika walio kufa kwa kugharamikia majeneza huku walio hai wakiendelea kutaaabika bila msaada wowote ule.Viongozi wanaenda kupiga picha kule na kuonekana walikuwepo eneo la tukio.

Raia wanahitaji misaaada na sio wingi wa viongozi kwenda kupiga picha eneo la tukio.
Wanaona fahari kununua zana za kisasa kuumiza wapinzani kama vile ya magari ya kumwagia maji ya upupu kuliko kununua zana za kuokoa maisha ya watu.
 
Kwa namna tulivyo laanika wa Afrika, janga la asili lililotokea kule Hanang litatumiwa na wezi na mafisadi kujinufaisha wao kwa kulipana posho na malipo mengine mengi hewa fanani nayo.

Ajabu zaidi, mwisho wa hilo utashuhudia waathiliwa hawatajengewa japo chumba kimoja cha kujistiri kwa kisingizio eti Serikali haina pesa!

Aliyetulaani wa Afrika hakika atakuwa alishakufa kitambo.

Pia soma > Manyara UPDATE: Waliofariki kwa Mafuriko Wilayani Hanang wafikia 63
Ni laana kweli kweli
 
Polisi ndo kifaa chake cha kazi na kazi yao ni kulinda raia na mali zao msiwape majukumu ambayo so kazi yao jeshi la zimamoto na uokoaji ukimwona ana bunduki ndo utuambie mda mwingine tunalalamika vitu ambavyo viko wazi
Hivi kuna jeshi la zimamoto na uokoaji Tanzania? Nimeshudia majanga mengi sana ya moto na sijawahi kuona hilo jeshi likisaidia kuokoa. Zaidi ya polojo tu!
 
We unadhani watu wote ni maskini sababu wako nchi ya kimaskini.
Mtu tajiri aliyezungukwa na masikini wasio na idadi naye ni masikini tu. Hujiulizi kwann hao mnapwaita matajir wanamiliki mabunduki, fance za umeme na walinzi kibao tena kwenye nchi ya amani na ya mazuzu kama hii?
 
Hivi kuna jeshi la zimamoto na uokoaji Tanzania? Nimeshudia majanga mengi sana ya moto na sijawahi kuona hilo jeshi likisaidia kuokoa. Zaidi ya polojo tu!
Hawa mara nyingi naonaga kazi zao zinafanywa na JW wao kila siku wanachamoto ya vifaa na miundo mbinu mibovu ndo kauli yao
 
Mdau mmoja aliopo eneo la tukio kule Hanang anasema kuna zaidi ya V8 78 za viongozi mbalimbali hadi sasa hivi, huku kukiwa hakuna vifaa maalumu ya uokoaji huku walio athiriwa wakiambiwa watafute hifadhi kwa ndugu jamaa na marafiki. Wananchi wanafanya kuhesanu V8 barabarani kwa sasa.

V8 zinafanya kupishana Hanang, huku kukiwa hakuna vifaa vya kufanya uokoaji, kukiwa hakuna mahema ya wahanga na kukiwa hakuna Chakula cha wahanga zaidi ya wahanga kwenda kuomba chakula kwa nduhu na jamaa na marafiki.

Serikali inangoja kuzika walio kufa kwa kugharamikia majeneza huku walio hai wakiendelea kutaaabika bila msaada wowote ule.Viongozi wanaenda kupiga picha kule na kuonekana walikuwepo eneo la tukio.

Raia wanahitaji misaaada na sio wingi wa viongozi kwenda kupiga picha eneo la tukio.
Dah inauma sana aiseee, tuna safari ndefu sana.
 
Back
Top Bottom