Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Mmojawapo ni Kikwete, huyu ndugu niliwahi msikiliza mara moja alipochaguliwa kuwa Rais nikaona daah, ndiyo basi tena.
Nilikuwa sahihi.
Toka siku hiyo sikuwahi pata nafasi ya kumsikiliza kabisa. Huwa sioni kama yupo "serious". Nlikuwa na msikiliza Nyerere, Mkapa na Mwinyi. Bora ni Nyerere akifuatiwa na Mkapa. Hawa walikuwa vichwa sana. Wamesoma na wana akili. Mpaka leo naweza wasikiliza.
Kwa kweli watanzania tuombewe sana hii nchi inapitia wakati mgumu sana kwa miaka mingi sasa, toka mlipofanya urais ni jambo la kipuuzi basi ndiyo imebaki kuwa hivyo.