Huwa inataka moyo sana kusikiliza maneno na hotuba za hawa watu

Kama hii nchi ilipitishwa kipindi cha 2015 hadi 2021 na ikatoka salama basi hakuna shida yoyote

Mfuasi wa jiwe unazuga tu kuwataja Mkapa na Mwinyi ila lengo lako ni kumponda JK kwa kufichua walivyozima mipango miovu ya Jiwe kujiongezea muda
Umemjibu kimkati sna kudos

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mmojawapo ni Kikwete, huyu ndugu niliwahi msikiliza mara moja alipochaguliwa kuwa Rais nikaona daah, ndiyo basi tena.

Nilikuwa sahihi.

Toka siku hiyo sikuwahi pata nafasi ya kumsikiliza kabisa. Huwa sioni kama yupo "serious". Nlikuwa na msikiliza Nyerere, Mkapa na Mwinyi. Bora ni Nyerere akifuatiwa na Mkapa. Hawa walikuwa vichwa sana. Wamesoma na wana akili. Mpaka leo naweza wasikiliza.

Kwa kweli watanzania tuombewe sana hii nchi inapitia wakati mgumu sana kwa miaka mingi sasa, toka mlipofanya urais ni jambo la kipuuzi basi ndiyo imebaki kuwa hivyo.
Daah bora hujathubutu kumsikiliza bibi yetu ungevunja TV
 
Mfuasi wa magufuri unateseka ukiwa wapi?
Wa hii text ni wazi wewe ndo unateseka. Maana mimi hata jina sikutaja. Ila ambaye uliumizwa bado huwezi kukaa vizuri mpaka sasa. Jitahidi ndo maisha hayo kupanga ni kuchagua. Kuwa mwanaume ni kazi usipokuwa imara ndo unapatwa na hayo madhara uliyo nayo.kila ukitaka kukaa ukasikia maumivu unamkumbuka....🤣
 
Duh!
Kumbe haya mambo ndiyo unayoyaamini?

Hapo katika yaliyoandikwa "dhehebu" umeliona wapi?
Watu wana shida sana ...na ni ukosefu wa lishe ya akili, elimu na msongo wa mawazo. Mimi sijaona nlipotaja dini au dhehebu ila kuna mtu amesoma kaona nimetaja madhehebu....🤣🤣🤣🤣 Utagundua katika kila watu watatu wendawazimu wawili.
 
Binafsi sidhani kama kuna hatuba ya maana hata moja iliyowahi kutolewa na Kikwete wala Mama
 
Mmojawapo ni Kikwete, huyu ndugu niliwahi msikiliza mara moja alipochaguliwa kuwa Rais nikaona daah, ndiyo basi tena.

Nilikuwa sahihi.

Toka siku hiyo sikuwahi pata nafasi ya kumsikiliza kabisa. Huwa sioni kama yupo "serious". Nlikuwa na msikiliza Nyerere, Mkapa na Mwinyi. Bora ni Nyerere akifuatiwa na Mkapa. Hawa walikuwa vichwa sana. Wamesoma na wana akili. Mpaka leo naweza wasikiliza.

Kwa kweli watanzania tuombewe sana hii nchi inapitia wakati mgumu sana kwa miaka mingi sasa, toka mlipofanya urais ni jambo la kipuuzi basi ndiyo imebaki kuwa hivyo.
Una maana hata Mpoki, Masanja hawakuvutii?
 
Hotuba za maana nchi hii zilikuwa za Mwalimu na Mkapa - hawa wengine hiiiii.
Mlifurahia hotuba za Nyerere huku akituachia nchi hatuna nguo, viatu, hata sukari kwa foleni.
Yaani mlichojali ni hotuba tu zile za kuchekacheka km mmeruhusiwa Mirembe
 
Mkuu wakati mwingine ficha makalio yako. Si vyema kila wakati wanapokuwepo wanaume nyuma yako wamekaa uiname mbele yao. Fuata ushauri huu kufunika nanii yako.
Umepigwa za uso sasa waporomosha mitusi tu...
 
Mmojawapo ni Kikwete, huyu ndugu niliwahi msikiliza mara moja alipochaguliwa kuwa Rais nikaona daah, ndiyo basi tena.

Nilikuwa sahihi.

Toka siku hiyo sikuwahi pata nafasi ya kumsikiliza kabisa. Huwa sioni kama yupo "serious". Nlikuwa na msikiliza Nyerere, Mkapa na Mwinyi. Bora ni Nyerere akifuatiwa na Mkapa. Hawa walikuwa vichwa sana. Wamesoma na wana akili. Mpaka leo naweza wasikiliza.

Kwa kweli watanzania tuombewe sana hii nchi inapitia wakati mgumu sana kwa miaka mingi sasa, toka mlipofanya urais ni jambo la kipuuzi basi ndiyo imebaki kuwa hivyo.
Nakubaliana na wewe 100 %. Nyerere na Mkapa ndiyo peke yao so far walikuwa viongozi. Wengine wote ni chancers waliopata nafasi kuongoza nchi.
 
Mmojawapo ni Kikwete, huyu ndugu niliwahi msikiliza mara moja alipochaguliwa kuwa Rais nikaona daah, ndiyo basi tena.

Nilikuwa sahihi.

Toka siku hiyo sikuwahi pata nafasi ya kumsikiliza kabisa. Huwa sioni kama yupo "serious". Nlikuwa na msikiliza Nyerere, Mkapa na Mwinyi. Bora ni Nyerere akifuatiwa na Mkapa. Hawa walikuwa vichwa sana. Wamesoma na wana akili. Mpaka leo naweza wasikiliza.

Kwa kweli watanzania tuombewe sana hii nchi inapitia wakati mgumu sana kwa miaka mingi sasa, toka mlipofanya urais ni jambo la kipuuzi basi ndiyo imebaki kuwa hivyo.
Maisha hayako serias hivyo acha kujipa stress
 
Chuki inakusumbua Sana dhidi ya kikwete
 
Kwenda zako huko. Sasa nani ndio yuko serious...lissu? Ungemtaja Magufuli kama mmoja mwenye hutuba serious ningekuelewa.
 
Kama hii nchi ilipitishwa kipindi cha 2015 hadi 2021 na ikatoka salama basi hakuna shida yoyote

Mfuasi wa jiwe unazuga tu kuwataja Mkapa na Mwinyi ila lengo lako ni kumponda JK kwa kufichua walivyozima mipango miovu ya Jiwe kujiongezea muda
Chuki inamsumbua
 
Back
Top Bottom