Dodoma leo
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 1,336
- 1,658
Siku zote alikuwa wapi kusoma amesubir mhusika hayupo ndo aongee.. ni unafiki tuKama hii nchi ilipitishwa kipindi cha 2015 hadi 2021 na ikatoka salama basi hakuna shida yoyote
Mfuasi wa jiwe unazuga tu kuwataja Mkapa na Mwinyi ila lengo lako ni kumponda JK kwa kufichua walivyozima mipango miovu ya Jiwe kujiongezea muda