Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Mwamba alitaka Saba Kama kagame!!!?Kama hii nchi ilipitishwa kipindi cha 2015 hadi 2021 na ikatoka salama basi hakuna shida yoyote
Mfuasi wa jiwe unazuga tu kuwataja Mkapa na Mwinyi ila lengo lako ni kumponda JK kwa kufichua walivyozima mipango miovu ya Jiwe kujiongezea muda
Wewe unawaza udini hao wa dini yako wamekusaidia nini mpaka Sasa?Watu wa dhehebu lako ndiyo unaona wamesoma na Wana akili,udini umekutafuna Sana ubongo...
Nimepata ajira,michongo kitaa inaenda,nilijijenga kipindi Cha jk,uchumi ambao hatukuwahi kuufikia..maisha Bora kwa kila mtanzaniaWewe unawaza udini hao wa dini yako wamekusaidia nini mpaka Sasa?
ema kweli ni mpenzi wa Mungu !! 👍Mmojawapo ni Kikwete, huyu ndugu niliwahi msikiliza mara moja alipochaguliwa kuwa Rais nikaona daaaah, ndo basi tena.
Nilikuwa sahihi.
Toka siku hiyo sikuwahi pata nafasi ya kumsikiliza kabisa. Huwa sioni kama yupo serious. Nlikuwa na msikiliza Nyerere, Mkapa na Mwinyi. The best ni Nyerere akifuatiwa na Mkapa. Hawa walikuwa vichwa sana. Wamesoma na wana akili. Mpaka leo naweza wasikiliza.
Kwa kweli watanzania tuombewe sana hii nchi inapitia wakati mgumu sana kwa miaka mingi sasa, toka mlipoafanya urais ni jambo la kipuuzi basi ndo imebaki kuwa hivyo.
Hotuba za maana nchi hii zilikuwa za Mwalimu na Mkapa - hawa wengine hiiiii.Mmojawapo ni Kikwete, huyu ndugu niliwahi msikiliza mara moja alipochaguliwa kuwa Rais nikaona daaaah, ndo basi tena.
Nilikuwa sahihi.
Toka siku hiyo sikuwahi pata nafasi ya kumsikiliza kabisa. Huwa sioni kama yupo serious. Nlikuwa na msikiliza Nyerere, Mkapa na Mwinyi. The best ni Nyerere akifuatiwa na Mkapa. Hawa walikuwa vichwa sana. Wamesoma na wana akili. Mpaka leo naweza wasikiliza.
Kwa kweli watanzania tuombewe sana hii nchi inapitia wakati mgumu sana kwa miaka mingi sasa, toka mlipoafanya urais ni jambo la kipuuzi basi ndo imebaki kuwa hivyo.
Mkuu wakati mwingine ficha makalio yako. Si vyema kila wakati wanapokuwepo wanaume nyuma yako wamekaa uiname mbele yao. Fuata ushauri huu kufunika nanii yako.Kama hii nchi ilipitishwa kipindi cha 2015 hadi 2021 na ikatoka salama basi hakuna shida yoyote
Mfuasi wa jiwe unazuga tu kuwataja Mkapa na Mwinyi ila lengo lako ni kumponda JK kwa kufichua walivyozima mipango miovu ya Jiwe kujiongezea muda
Wewe akili huna hata za kuvalia chupi. Unalifahamu dhehebu au dini yangu? 😁 Nyie ndo mnafanya wote tuonekane hatukusoma,hatuna elimu kumbe tupo ambao tuna elimu na tumeelimika vizuri siyo maamuma kama ninyi....Watu wa dhehebu lako ndiyo unaona wamesoma na Wana akili,udini umekutafuna Sana ubongo...
Elimu ingekua inawafanya watu wajinga kwa kiasi chako,tusingeipapukia..wewe ni mjinga tu na shule ulikua unakunywa kamasi wakati walimu wanafundishaWewe akili huna hata za kuvalia chupi. Unalifahamu dhehebu au dini yangu? 😁 Nyie ndo mnafanya wote tuonekane hatukusoma,hatuna elimu kumbe tupo ambao tuna elimu na tumeelimika vizuri siyo maamuma kama ninyi....
Kama hii nchi ilipitishwa kipindi cha 2015 hadi 2021 na ikatoka salama basi hakuna shida yoyote
Mfuasi wa jiwe unazuga tu kuwataja Mkapa na Mwinyi ila lengo lako ni kumponda JK kwa kufichua walivyozima mipango miovu ya Jiwe kujiongezea muda
Hasa huo mstari na nusu uliouweka mwicho wa andiko lako...Mmojawapo ni Kikwete, huyu ndugu niliwahi msikiliza mara moja alipochaguliwa kuwa Rais nikaona daah, ndiyo basi tena.
Nilikuwa sahihi.
Toka siku hiyo sikuwahi pata nafasi ya kumsikiliza kabisa. Huwa sioni kama yupo "serious". Nlikuwa na msikiliza Nyerere, Mkapa na Mwinyi. Bora ni Nyerere akifuatiwa na Mkapa. Hawa walikuwa vichwa sana. Wamesoma na wana akili. Mpaka leo naweza wasikiliza.
Kwa kweli watanzania tuombewe sana hii nchi inapitia wakati mgumu sana kwa miaka mingi sasa, toka mlipofanya urais ni jambo la kipuuzi basi ndiyo imebaki kuwa hivyo.
Duh!Watu wa dhehebu lako ndiyo unaona wamesoma na Wana akili,udini umekutafuna Sana ubongo...
Mwehu katuongoza miaka mitano huku chawa wakimsifia, sasa ni mtindo wa taarab tuMmojawapo ni Kikwete, huyu ndugu niliwahi msikiliza mara moja alipochaguliwa kuwa Rais nikaona daah, ndiyo basi tena.
Nilikuwa sahihi.
Toka siku hiyo sikuwahi pata nafasi ya kumsikiliza kabisa. Huwa sioni kama yupo "serious". Nlikuwa na msikiliza Nyerere, Mkapa na Mwinyi. Bora ni Nyerere akifuatiwa na Mkapa. Hawa walikuwa vichwa sana. Wamesoma na wana akili. Mpaka leo naweza wasikiliza.
Kwa kweli watanzania tuombewe sana hii nchi inapitia wakati mgumu sana kwa miaka mingi sasa, toka mlipofanya urais ni jambo la kipuuzi basi ndiyo imebaki kuwa hivyo.
Mbona unatokwa na povu kila sehemu ya wazi ya mwili wako? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Vumilia tu umetaka mwana sasa unapewa...just calm down faggot....come down. Unatokwa povu hivi we mkewe?Elimu ingekua inawafanya watu wajinga kwa kiasi chako,tusingeipapukia..wewe ni mjinga tu na shule ulikua unakunywa kamasi wakati walimu wanafundisha
Magufuli je?Mmojawapo ni Kikwete, huyu ndugu niliwahi msikiliza mara moja alipochaguliwa kuwa Rais nikaona daah, ndiyo basi tena.