Umemjibu kimkati sna kudosKama hii nchi ilipitishwa kipindi cha 2015 hadi 2021 na ikatoka salama basi hakuna shida yoyote
Mfuasi wa jiwe unazuga tu kuwataja Mkapa na Mwinyi ila lengo lako ni kumponda JK kwa kufichua walivyozima mipango miovu ya Jiwe kujiongezea muda
Na hi ndio itakuwa kubwa San kweny magazeti ya keshoMwamba alitaka Saba Kama kagame!!!?
Daah bora hujathubutu kumsikiliza bibi yetu ungevunja TVMmojawapo ni Kikwete, huyu ndugu niliwahi msikiliza mara moja alipochaguliwa kuwa Rais nikaona daah, ndiyo basi tena.
Nilikuwa sahihi.
Toka siku hiyo sikuwahi pata nafasi ya kumsikiliza kabisa. Huwa sioni kama yupo "serious". Nlikuwa na msikiliza Nyerere, Mkapa na Mwinyi. Bora ni Nyerere akifuatiwa na Mkapa. Hawa walikuwa vichwa sana. Wamesoma na wana akili. Mpaka leo naweza wasikiliza.
Kwa kweli watanzania tuombewe sana hii nchi inapitia wakati mgumu sana kwa miaka mingi sasa, toka mlipofanya urais ni jambo la kipuuzi basi ndiyo imebaki kuwa hivyo.
Huyo mzungumzie wewe...mimi nimetaja ambao huwa nawasikiliza.Magufuli je?
Nakosa muda....nimekuwa busy kidogo.Daah bora hujathubutu kumsikiliza bibi yetu ungevunja TV
Wa hii text ni wazi wewe ndo unateseka. Maana mimi hata jina sikutaja. Ila ambaye uliumizwa bado huwezi kukaa vizuri mpaka sasa. Jitahidi ndo maisha hayo kupanga ni kuchagua. Kuwa mwanaume ni kazi usipokuwa imara ndo unapatwa na hayo madhara uliyo nayo.kila ukitaka kukaa ukasikia maumivu unamkumbuka....🤣Mfuasi wa magufuri unateseka ukiwa wapi?
Watu wana shida sana ...na ni ukosefu wa lishe ya akili, elimu na msongo wa mawazo. Mimi sijaona nlipotaja dini au dhehebu ila kuna mtu amesoma kaona nimetaja madhehebu....🤣🤣🤣🤣 Utagundua katika kila watu watatu wendawazimu wawili.Duh!
Kumbe haya mambo ndiyo unayoyaamini?
Hapo katika yaliyoandikwa "dhehebu" umeliona wapi?
Una maana hata Mpoki, Masanja hawakuvutii?Mmojawapo ni Kikwete, huyu ndugu niliwahi msikiliza mara moja alipochaguliwa kuwa Rais nikaona daah, ndiyo basi tena.
Nilikuwa sahihi.
Toka siku hiyo sikuwahi pata nafasi ya kumsikiliza kabisa. Huwa sioni kama yupo "serious". Nlikuwa na msikiliza Nyerere, Mkapa na Mwinyi. Bora ni Nyerere akifuatiwa na Mkapa. Hawa walikuwa vichwa sana. Wamesoma na wana akili. Mpaka leo naweza wasikiliza.
Kwa kweli watanzania tuombewe sana hii nchi inapitia wakati mgumu sana kwa miaka mingi sasa, toka mlipofanya urais ni jambo la kipuuzi basi ndiyo imebaki kuwa hivyo.
Mlifurahia hotuba za Nyerere huku akituachia nchi hatuna nguo, viatu, hata sukari kwa foleni.Hotuba za maana nchi hii zilikuwa za Mwalimu na Mkapa - hawa wengine hiiiii.
Umepigwa za uso sasa waporomosha mitusi tu...Mkuu wakati mwingine ficha makalio yako. Si vyema kila wakati wanapokuwepo wanaume nyuma yako wamekaa uiname mbele yao. Fuata ushauri huu kufunika nanii yako.
Nakubaliana na wewe 100 %. Nyerere na Mkapa ndiyo peke yao so far walikuwa viongozi. Wengine wote ni chancers waliopata nafasi kuongoza nchi.Mmojawapo ni Kikwete, huyu ndugu niliwahi msikiliza mara moja alipochaguliwa kuwa Rais nikaona daah, ndiyo basi tena.
Nilikuwa sahihi.
Toka siku hiyo sikuwahi pata nafasi ya kumsikiliza kabisa. Huwa sioni kama yupo "serious". Nlikuwa na msikiliza Nyerere, Mkapa na Mwinyi. Bora ni Nyerere akifuatiwa na Mkapa. Hawa walikuwa vichwa sana. Wamesoma na wana akili. Mpaka leo naweza wasikiliza.
Kwa kweli watanzania tuombewe sana hii nchi inapitia wakati mgumu sana kwa miaka mingi sasa, toka mlipofanya urais ni jambo la kipuuzi basi ndiyo imebaki kuwa hivyo.
Kwaiyo ajira mlipata watu wa JK tu?Nimepata ajira,michongo kitaa inaenda,nilijijenga kipindi Cha jk,uchumi ambao hatukuwahi kuufikia..maisha Bora kwa kila mtanzania
Dini ndo ilokusaidia kupata ajira?Nimepata ajira,michongo kitaa inaenda,nilijijenga kipindi Cha jk,uchumi ambao hatukuwahi kuufikia..maisha Bora kwa kila mtanzania
Kwani hizo hutuba za maana ulikuwa unazisikia kwa hao wengine zilikua zinakupa chakula?Binafsi sidhani kama kuna hatuba ya maana hata moja iliyowahi kutolewa na Kikwete wala Mama
Maisha hayako serias hivyo acha kujipa stressMmojawapo ni Kikwete, huyu ndugu niliwahi msikiliza mara moja alipochaguliwa kuwa Rais nikaona daah, ndiyo basi tena.
Nilikuwa sahihi.
Toka siku hiyo sikuwahi pata nafasi ya kumsikiliza kabisa. Huwa sioni kama yupo "serious". Nlikuwa na msikiliza Nyerere, Mkapa na Mwinyi. Bora ni Nyerere akifuatiwa na Mkapa. Hawa walikuwa vichwa sana. Wamesoma na wana akili. Mpaka leo naweza wasikiliza.
Kwa kweli watanzania tuombewe sana hii nchi inapitia wakati mgumu sana kwa miaka mingi sasa, toka mlipofanya urais ni jambo la kipuuzi basi ndiyo imebaki kuwa hivyo.
Chuki inakusumbua Sana dhidi ya kikweteMmojawapo ni Kikwete, huyu ndugu niliwahi msikiliza mara moja alipochaguliwa kuwa Rais nikaona daah, ndiyo basi tena.
Nilikuwa sahihi.
Toka siku hiyo sikuwahi pata nafasi ya kumsikiliza kabisa. Huwa sioni kama yupo "serious". Nlikuwa na msikiliza Nyerere, Mkapa na Mwinyi. Bora ni Nyerere akifuatiwa na Mkapa. Hawa walikuwa vichwa sana. Wamesoma na wana akili. Mpaka leo naweza wasikiliza.
Kwa kweli watanzania tuombewe sana hii nchi inapitia wakati mgumu sana kwa miaka mingi sasa, toka mlipofanya urais ni jambo la kipuuzi basi ndiyo imebaki kuwa hivyo.
Kwenda zako huko. Sasa nani ndio yuko serious...lissu? Ungemtaja Magufuli kama mmoja mwenye hutuba serious ningekuelewa.Mmojawapo ni Kikwete, huyu ndugu niliwahi msikiliza mara moja alipochaguliwa kuwa Rais nikaona daah, ndiyo basi tena.
Nilikuwa sahihi.
Toka siku hiyo sikuwahi pata nafasi ya kumsikiliza kabisa. Huwa sioni kama yupo "serious". Nlikuwa na msikiliza Nyerere, Mkapa na Mwinyi. Bora ni Nyerere akifuatiwa na Mkapa. Hawa walikuwa vichwa sana. Wamesoma na wana akili. Mpaka leo naweza wasikiliza.
Kwa kweli watanzania tuombewe sana hii nchi inapitia wakati mgumu sana kwa miaka mingi sasa, toka mlipofanya urais ni jambo la kipuuzi basi ndiyo imebaki kuwa hivyo.
Chuki inamsumbuaKama hii nchi ilipitishwa kipindi cha 2015 hadi 2021 na ikatoka salama basi hakuna shida yoyote