Dodoma leo
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 1,336
- 1,658
Siku zote alikuwa wapi kusoma amesubir mhusika hayupo ndo aongee.. ni unafiki tuKama hii nchi ilipitishwa kipindi cha 2015 hadi 2021 na ikatoka salama basi hakuna shida yoyote
Mfuasi wa jiwe unazuga tu kuwataja Mkapa na Mwinyi ila lengo lako ni kumponda JK kwa kufichua walivyozima mipango miovu ya Jiwe kujiongezea muda
Muhamad alikufa na bado tunashangilia hotuba zake. Naye ni mfu. Sioni hoja yako maamuma.Hii ndo kazi inayokufaa.
Matusi na kushangilia hotoba za wafu
Shida uliolewa ukiwa na umri mdogo sana....kiasi kwamba umekosa heshima kwa wakubwa zako sababu unaona kama wote tupo sawa. Ungekaa na wazazi wakakukuza wakakufundisha ungekuwa una uelewa na kuheshimu wakubwa zako. Ungejifunza dini inasemaje na inatakaje...siku hizi hamfuati kabisa maadili mmekuwa makafir tu.Uombewe na nani wakati wewe mwenyewe hujielewi hujitambui.
Ukitaka wakufanye/kufanyie nini hao uliowataja?
Wewe akili huna hata za kuvalia chupi. Unalifahamu dhehebu au dini yangu? π Nyie ndo mnafanya wote tuonekane hatukusoma,hatuna elimu kumbe tupo ambao tuna elimu na tumeelimika vizuri siyo maamuma kama ninyi....Udini utakumaliza wewe.
kwa hii comment imeonesha kiwango chako cha elimu uko Sawa kabisa mkuu πMkuu wakati mwingine ficha makalio yako. Si vyema kila wakati wanapokuwepo wanaume nyuma yako wamekaa uiname mbele yao. Fuata ushauri huu kufunika nanii yako.
2025 tena.kwa hii comment imeonesha kiwango chako cha elimu uko Sawa kabisa mkuu π
Kabisa aiseee.......Watu wanaotukanana ni walewale siku zote.
Kuolewa niolewe mimi shida upate wewe! Majanga.Shida uliolewa ukiwa na umri mdogo sana....kiasi kwamba umekosa heshima kwa wakubwa zako sababu unaona kama wote tupo sawa. Ungekaa na wazazi wakakukuza wakakufundisha ungekuwa una uelewa na kuheshimu wakubwa zako. Ungejifunza dini inasemaje na inatakaje...siku hizi hamfuati kabisa maadili mmekuwa makafir tu.
Miaka yetu tunakuwa wanawake walikuwa na nidhamu...sasa hivi wametunduliwa kila sehemu hawana nidhamu.Kuolewa niolewe mimi shida upate wewe! Majanga.
Au una hamu ya kuolewa?
Basi umebaki na kazi ya mitusi tu humu.Shida uliolewa ukiwa na umri mdogo sana....kiasi kwamba umekosa heshima kwa wakubwa zako sababu unaona kama wote tupo sawa. Ungekaa na wazazi wakakukuza wakakufundisha ungekuwa una uelewa na kuheshimu wakubwa zako. Ungejifunza dini inasemaje na inatakaje...siku hizi hamfuati kabisa maadili mmekuwa makafir tu.
Una elimu ya Matusi..Wewe akili huna hata za kuvalia chupi. Unalifahamu dhehebu au dini yangu? [emoji16] Nyie ndo mnafanya wote tuonekane hatukusoma,hatuna elimu kumbe tupo ambao tuna elimu na tumeelimika vizuri siyo maamuma kama ninyi....
Daaah....mimi na matusi wapi na wapiBasi umebaki na kazi ya mitusi tu humu.
Yaani unaanzisha uzi halafu watu wakienda tofauti na mawazo yako povu kama lote
Mswalie mtume sheikh... Astaghafilulah...daaaaahUna elimu ya Matusi..
Nayo ni elimu ati!!
Wewe akili huna hata za kuvalia chupi. Unalifahamu dhehebu au dini yangu? π Nyie ndo mnafanya wote tuonekane hatukusoma,hatuna elimu kumbe tupo ambao tuna elimu na tumeelimika vizuri siyo maamuma kama ninyi....
Wewe maamuma sana. Soma threads zangu utagundua Dini yangu. Mwinyi ni Mkristo? Na hizo dini zao mimi zinanihusu nini? Mimi nazungumzia akili Kilaza na vyeti vyako vya kufoji unazungumzia Dini.Kwahiyo unajivunia kuwa na elimu sio! Haya elimu yako imekusaidia nini mpaka sasa!! Wakati kuna wenzako wengi tu wameajiriwa na wasio na elimu, watu ambao wamejawa na akili ya maisha, utu uzima na kuendesha uchumi, na sio akili ya darasani.
Kwa upande wa marais, nakuona ukiwasifia zaidi wakristo wenzio, hivi huyo nyerere alitufanyia nini cha maana cha kuweza kumkumbuka!! Kutaifisha nyumba za wahindi sio?
Kama ni udini, basi acha udini
Bhujiku ng'waka!
Inaonekana wewe mwizi ndio maana unafurahia UTAWALA wa Dhaifu wadiobana pesa!Nimepata ajira,michongo kitaa inaenda,nilijijenga kipindi Cha jk,uchumi ambao hatukuwahi kuufikia..maisha Bora kwa kila mtanzania