Huwa mnawashughulikiaje watoto wanaokuwa na tabia kama hii?

Huwa mnawashughulikiaje watoto wanaokuwa na tabia kama hii?

Mkuu usicheke haya mambo nayaelewa sana usije sema eti mdogo wako ni mtakatifu hafanyi jambo moja wasilojua wazazi ni kwamba asilimia kubwa hatukai na watoto

Nakupa mfano wa mwisho mimi nkiwa darasa la nne house boy na dereva wa gari za mzee walikua wanatumia unga na bangi off course walikua wanaficha but due to my curiosity nkajaribu na mimi kuvuta unga kilichotokea Mungu ndie anajua [emoji23][emoji23]

It was for a one day but this is just An example watoto wanapitia mengi sana na ni kundi lililo neglected kuliko kundi lolote lile kwenye jamee
Kundi la adolescents
Kwakweli inabidi kua nae makini sana asifikie huko kwenye kuvuta bangi 😌
 
Kuna mdogo wangu aliwahi toweka hom hivyo hivyo, mama alikuwa anamcare sana , akifunga mlango wa chumbani kwake anakula mziki na earphones, utakuta mama anagonga mlango hasikii, anakuja kufungua mama analalamika sana yaani, akiwa hata anakula akaacha msosi, bi mkubwa atataka kujua kwanin ameacha, mara kwanin analala..

Mwishowe dogo akawa anaenda mabanda umiza kucheck mpira au movie tu anapakimbia hom kwa sababu ya maswali maswali.

Nyie mwachen, endeleeni kumpenda na kumuacha, ushauri wa maneno machache na sio kila siku. Anatoka hom kwasababu ya kero zenu za ushauri ushauri kila saa, muda mwingine mtaniane tu, maisha yaende.
Sawa mkuu, tutajitahidi kufanya hivyo
 
Balehe inamsumbua ameanza kujiona kijeba,,ukijumlisha n vibangi mavi wanavyojifunzia huko kwenye vijiwe Vyao vya pulutebo,,,kamali za karata makato na vijistudio vyao vya kurusha muvi zao zilizotafsiriwa na DJ mafii na miziki Yao ya singeli ile ya "OYAA WEEe!!"" huku wamevaa vipensi vyao wanaviita vinjunga mapaja yote Nje,,na unakuta ameshajua na kutomba,,mbaya zaidi ngono wanaifanya kizembe,, na ndio maana mavidonge ya gono na yutiai hayaishi ni mwendo wa kugawa dozi na wewe unatandikwa dozi!!Mwambie dogo Aache unyoko mbili,,acheze kwa akili mnoo afanye uhuni wa kijanja,,aachane na uhuni na wauni mavi!!
 
Sawa nmekuelewa mkuu, Asante kwa ushauri
 
Tafuta mshkaji mmoja mtaani. Kila mtaa kuna mwana mwenye taarifa za kila mtu. Mpe pesa huyo mtu kama 10,000 tu akuletee taarifa za dogo. Haitamaliza hata wiki utajua mishe zote za dogo lako.
 
Back
Top Bottom