Huwa mnawashughulikiaje watoto wanaokuwa na tabia kama hii?

Kwakweli inabidi kua nae makini sana asifikie huko kwenye kuvuta bangi 😌
 
Sawa mkuu, tutajitahidi kufanya hivyo
 
Balehe inamsumbua ameanza kujiona kijeba,,ukijumlisha n vibangi mavi wanavyojifunzia huko kwenye vijiwe Vyao vya pulutebo,,,kamali za karata makato na vijistudio vyao vya kurusha muvi zao zilizotafsiriwa na DJ mafii na miziki Yao ya singeli ile ya "OYAA WEEe!!"" huku wamevaa vipensi vyao wanaviita vinjunga mapaja yote Nje,,na unakuta ameshajua na kutomba,,mbaya zaidi ngono wanaifanya kizembe,, na ndio maana mavidonge ya gono na yutiai hayaishi ni mwendo wa kugawa dozi na wewe unatandikwa dozi!!Mwambie dogo Aache unyoko mbili,,acheze kwa akili mnoo afanye uhuni wa kijanja,,aachane na uhuni na wauni mavi!!
 
Sawa nmekuelewa mkuu, Asante kwa ushauri
 
Tafuta mshkaji mmoja mtaani. Kila mtaa kuna mwana mwenye taarifa za kila mtu. Mpe pesa huyo mtu kama 10,000 tu akuletee taarifa za dogo. Haitamaliza hata wiki utajua mishe zote za dogo lako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…