Huwa mnawashughulikiaje watoto wanaokuwa na tabia kama hii?

Hebu msikikizeni dingi anavyosema,anajua hata yeye alikuwa hvyo wakati ana balehe.mwenyewe hii tabia nimekuwa nayo tangu nijitambue,japo inapungua kadri muda unavyosonga ila hakuna utamu kama kuwa alone with your thoughts.
 
Sawa, Asante kwa ushauri mkuu 😊🙏🏼
 
Pengine kaingia kwenye mihadarati na ushoga
 
Kisha jua utamu wa K tu.Ngoja nitarudi
Angekua mpenda K asingekua na hasira.

Na dogo akishaanza kupenda chini mtajua tu maana hizo mambo kuficha ni ngumu. Maana marq nyingi atakua anapenda utani wa namna hiyo, marafiki kedekede si rahisi kua na sonona.

Ila Ke ndo anakua na vitabia vya kiburi na kutomsikiliza mtu zaidi ya huyo boyfriend wake.

Huyo dogo kuna vitabia vingine vya hovyo kavianza ama lah anaona nyumbani hawamjali.
 
Aisee,, mbona tatizo hilo sasa.unaweza kunigusia hivyo vitabia labda ili nipate pa kuanzia kumchunguza
 
Sawa,, Asante kwa ushauri mkuu...nitajitahidi nimfuatilie
Sawa, endapo kuna mtu wake wa karibu ambaye ni sawa na jinsia yake na huwa anamtetea sana pale ninyi mnapokuwa mnalalamika nae mumfuatilie kwa undani kwasababu anaweza kuwa ndiye anashiriki naye
 
Sawa, endapo kuna mtu wake wa karibu ambaye ni sawa na jinsia yake na huwa anamtetea sana pale ninyi mnapokuwa mnalalamika nae mumfuatilie kwa undani kwasababu anaweza kuwa ndiye anashiriki naye
Kiukweli kwa nyumbani hakuna mtu anayeshirikiana nae,, yuko pekeyake tu
 
Kiukweli kwa nyumbani hakuna mtu anayeshirikiana nae,, yuko pekeyake tu
Kama ndivyo basi ana marafiki wa nje wabaya. Lakini namna nzuri ya kumsaidia kaa nae chini mkiwa nje ya familia yenu labda Restaurant kisha ongea nae kirafiki mfanye rafiki yako ili awe huru kukueleza. Mara nyingi mkizungumza mkiwa nyumbani anakosa confidence
 
Ushauri mzurii huu pia😊🤗
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…