Huwa nachukia sana 'Kelele' wakati wa Usiku na Asubuhi

Unahitaji msaada gani?
 
Nilifikiri kelele za nyumba ya kupanga, kumbe sio.
 
Hakuna mtu anayependa mikelele iwe asubuhi au usiku hata mchana.


Jenga sehemu iliyopangwa(iliyopimwa) ukijenga uswahilini basi mikelele haiepukiki au panga sehemu zilizopimwa.
Kweli kabisa mkuu kuna sehemu ni km watu hawaishi ila watu wanaishi sema ni pako kimya sana kila nikipita sauti ya ndani hua inaniambia I wish ningekua naishi hapa pa kimya sana
 
Kweli kabisa mkuu kuna sehemu ni km watu hawaishi ila watu wanaishi sema ni pako kimya sana kila nikipita sauti ya ndani hua inaniambia I wish ningekua naishi hapa pa kimya sana
Ndiyo mkuu ,sehemu zilizopimwa kwa ajili ya Makazi(Resedential) hakuna kelele kabisa na ukipita unaweza ukahisi hiyo sehemu hakuna watu wanaoishi papo kimya kabisa ila ukiangalia kwa ndani unaona shamba boy anamwagilia garden na mikoko ipo kivulini tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…