KyemanaMugaza
JF-Expert Member
- Jan 7, 2025
- 361
- 592
Mi pia huwa sipendi kelele, nimeacha kununua sabufa na tv kwa sababu hiyo,sipendi kwenda sehemu yenye mikusanyiko mingi mfano sokoni, uwanjani kuangalia mpira,mikutano ya siasa au dini,maonyesho ya nanenane au sabasaba.
Hii pia imenifanya niishi peke yangu muda mrefu huwa napata hofu sana itakuwaje nikioa mwanamke muongeaji.
Nakereka pia na milio ya simu,nina zaidi ya miaka 15 sijaweka mlio kwenye simu yangu,ni silent tu .