KyemanaMugaza
JF-Expert Member
- Jan 7, 2025
- 361
- 592
Hunijui hata chembe tuliza mshono!Nakujua kidogo naanzaje kukujua sana ili nipate nini sasa hapo?
Mimi niko hivyo ila mara moja moja naenda kwenye mziki mnene! Sauti ndio nilishashindwa kabisa kuweka niko radhi nijitese kuchungulia simu kama nina miadi ila sio kuiwekea sauti🫢Mi pia huwa sipendi kelele, nimeacha kununua sabufa na tv kwa sababu hiyo,sipendi kwenda sehemu yenye mikusanyiko mingi mfano sokoni, uwanjani kuangalia mpira,mikutano ya siasa au dini,maonyesho ya nanenane au sabasaba.
Hii pia imenifanya niishi peke yangu muda mrefu huwa napata hofu sana itakuwaje nikioa mwanamke muongeaji.
Nakereka pia na milio ya simu,nina zaidi ya miaka 15 sijaweka mlio kwenye simu yangu,ni silent tu .
Unapajua buchosa? Umenishinda🙌🏾Niko komwe mti wa dhambi hapa Buchosa.
Hiki sikukitaja mimi sio mlio wa simu tu hata notifications zote nimezipiga OFF naona ni km kelele tu kuanzia kwenye email mpaka WhatsApp ni kimya tuNakereka pia na milio ya simu,nina zaidi ya miaka 15 sijaweka mlio kwenye simu yangu,ni silent tu .
Hahaha wala sihitaji kukujua hivyo BIG na wewe kitulizeHunijui hata chembe tuliza mshono!
Unaongea ujinga 🚮Hahaha wala sihitaji kukujua hivyo BIG na wewe kitulize
Ujinga upi tena? Turudi kwenye madaUnaongea ujinga 🚮
Hivi ile id ya mwamba sio yako kweli? Una kila elements zake!Ujinga upi tena? Turudi kwenye mada
Basi natania.Hauwezi kua serious kabisa
Napajua vyema sana. Mimi ni jitu linalotembea tembea.Unapajua buchosa? Umenishinda🙌🏾
Mkuu sio wewe tu; nami nimo. Huwa napenda kuwa peke yangu nyumbani lakini wakati wote nakuwa active ama nasoma vitabu au naandika uzi JF au kwenye mitandao mingine ya jamii. Sio rahisi kunikuta nimekaa tu bila kujishughulisha ama na kazi au maandishi social media.Nahisi nitakua nina tatizo la phonophobia.
Ninachukia sana sauti sana sana wakati wa asubuhi na nyakati za usiku yaan sipendi kabisa makelele mida hio.
Napenda sana sehemu yenye ukimya.
Napenda sana utulivu na kukaa sehemu iliyotulia muda mwingi nikiwa mwenyewe.
Sauti pekee inayonipa furaha na kunifanya nijihisi na kujisikia vizuri sana ni ile sauti ya maji yanayotiririka ndio naipenda kuisikia.
Napenda sana kutulia mwenyewe sehemu tulivu sana na km nikipata mtu wa kuzungumza nae basi asiwe zaidi ya mmoja.
Tukiwa wawili inatosha kuzungumza ila mazungumzo yetu yasiwe ya muda mrefu maana yakizidi sana pia nachoka nahitaji kua mwenyewe.
Sipendi kabisa kujiingiza kwenye mazungumzo ya watu wengi wenye makelele mengi ambao muda wote wanaongea mazungumzo yasiyo na maana au faida yoyote 'small-talk'. Inanichosha.
Sipendi makelele mengi hususani wakati wa usiku hua najipenda mwenyewe niwe sehemu tulivu zaidi na niwe peke yangu zaidi.
Au la niwe na mtu mmoja tu wa kuzungumza nae na asiwe muongeaji sana maana akiongea sana atanichosha.
Napenda kusikiliza kuliko kuongea maana kabla sijaongea hua najiuliza je hiki ninachotaka kukiongea nitakua nipo sahihi au nitakua sipo sahihi.
Napenda zaidi kuandika zaidi ya kuongea. Hua nafurahia zaidi kuandika kuliko kuongea maana nikiandika hata km nikikosea naweza kurekebisha nikaandika kitu sahihi ila najua nikiongea nimeongea siwezi kufuta kwa hio kwenye kuongea hua nakua makini sana hususani ninapoulizwa maswali nisiyopenda kuulizwa.
Siwezi kuongea na watu wengi zaidi ya mmoja kwa pamoja kwa muda mmoja na kwa muda mrefu hua inanichosha. Na muda mwingi nitaamua kujitenga na wengine wataniona tofauti wengine husema najisikia ila ndio nipo hivyo.
Siwezi kukaa na watu wengi muda mrefu.
Nachoka sababu napenda kua peke yangu. Wengine wananiona mpweke ila huo upweke wangu ndio sehemu ya furaha yangu.
Kuna muda hua nahitaji kua mwenyewe niwe peke yangu sehemu tulivu zaidi.
Nachukia kelele mara nyingi napenda niwe mwenyewe au niwe na mtu mmoja mkimya na asiependa kuzungumza sana.
Sipendi mtu mwenye mdomo mdomo mtu anaeongea sana hua ananichosha.
Napenda mtu anaependa kufanya kwa vitendo zaidi na sio kwa kuzungumza zaidi.
Sipendi kabisa wapiga makelele.
Kuna watu wao bila makelele makelele na bila kupiga kelele au kupigiwa ma
kelele hawasikii furaha.
Sipendi kelele.
Hapo kwenye simu, wewe ni mimi kabisa mkuu. Na huwa sipendi maelezo marefu. Nataka mtu aingie kwenye point moja kwa moja badala ya kuleta story za hapa na pale, hasa hawa akina mama na maneno yao mengi kama chiriku.Wewe utakuwa ni mimi sipendi kelele au mziki mkubwa nimegombana sana na majirani zangu lakini wapii..
Kuongea na simu na mtu yoyote mwisho ni dk 5 tu nakata simu!
Kwani wewe ni mtu wa wapi?Napajua vyema sana. Mimi ni jitu linalotembea tembea.
Wa Mbinguni Morogoro.Kwani wewe ni mtu wa wapi?
Nimekumbuka ile video ya doto magari yuko kwenye yatch, akaona ingine ina watu kibao akaanza kusema ona ile wapogoro 100 hapa niko pekeangu. 😂Wa Mbinguni Morogoro.
Kwamba anawatukana wapogoro?Nimekumbuka ile video ya doto magari yuko kwenye yatch, akaona ingine ina watu kibao akaanz akusema ona ile wapogoro 100 hapa niko pekeangu. 😂