His charisma is unstoppable,Yeah, Ngoma kali sana na Jamaa anapendwa sabab yuko cool sana hata kwenye maisha yake ya kawaida yuko hivyohivyo.
Yeah, sasa kama alifikia hatua alitaka kujiua basi alipitia maisha ambayo si mazuri utotoni. Angejitangaza mapema hata dili la kucheza PB yawezekana angelikosa,sema jamaa liko smart sana ila ndo hivyo anakula mikuyenge ya masela.Yah, alipitia rough childhood, huenda ndo zilizo Fanya awe upinde. Imagine mda wote unakuwa depressed ss mashine itafanya kazi sawasawa Kweli? Hata Testosterone inashuka..
Jamaa angekuwa straight angepata more endorsement na angekuwa bonge moja la celebritiy kwa wakati wake. Kaniangusha sana
Yan jambo la kushangaza mtu kama huyu ambae anaonekana angewasumbua wadada anatolewa nje kwa kadi nyekundu, anawaacha mnacheza pungufu uwanjani.His charisma is unstoppable,
Huwa ana presence flani hivi ambayo anayemtazama awe hooked bila kupenda, na hata kama asingevuka ukuta ange wachezea sana wadada.. Too sad for him
Mimi ndo maana napenda filam zilizoegemea kwenye story za kweli au matukio ya ukweli iwe vita au historia ya jamii flan za kitambo. Movies za action kwelikweli kma za kina Iko Uwais huwezi kukuta mambo ya kishogashoga.Tamthilia au Movies za Wazungu nyingi hasa hawa Wamarekani hawawezi kuandika hadithi bila kuchomekea mambo ya ushoga.Mimi nimekuja kugundua ya kuwa Movie karibu zote kubwa za kimarekani zina theme ya Ushetani ndani yake
Fatilia kwanzia PB, Breaking Bad, Into the Badlands, Designated Survivor, GoT nk zote hizo zina Ushetani mwing Sana. I guess hao ndo wanasponsor hzo Movies na lengo kuu ni kupoison the society.
Jamaa alijufunga pingu na michael.. sasa pale aliyemkata sijui alikua abuzer yule jamaa au kaka wa michael...Sio burrows wala scofield nimekumbuka ilikuwa jamaa flani hivi ambae alikuwa na pesa kaficha ufukweni...
View attachment 3616080
Sema ilikua kuna Michael ndo kashika axe, ila hili jamaa ndo lilimkata mkono senge Kweli,
Kuna scene mpka lilikufa wakadhani limekuja Kweli kuja some episode later kika rudi, walishtuka hasa T bag si alidhani ame liua kwa kulichinja
Wajomba ni wa hovyo sana aiseeeeKwamba wajomba ndo wakina Juma lokole?
Wale jamaa siwakubali kabisa huwa naishi a kucheka tuu hamna nacho jifunzaKama hutakii upinde kwenye movie basi inabidi uishie kuangalia movie za kina Ringo na mkojani .
Hollywood Bila upinde haijakamilika , hakuna Hollywood ambayo Haina upinde
T-bag alikua mnyama sana, yaani angepewa hicho kitengo angefurahi sana.πππjamaa angepewa Character ya ushoga angeifurahia maana wangekuwa wamempatia kwelikweli. Angepewa Scene na T-Bag angefurahia zaidi.
Yah, sure ila wawe vilians tu wasiwe mastar.Mimi nimekuja kugundua ya kuwa Movie karibu zote kubwa za kimarekani zina theme ya Ushetani ndani yake
Fatilia kwanzia PB, Breaking Bad, Into the Badlands, Designated Survivor, GoT nk zote hizo zina Ushetani mwing Sana. I guess hao ndo wanasponsor hzo Movies na lengo kuu ni kupoison the society.
Factsπ― leo umeamka vzr mkuu sio kawaida yakoN sawa na kujiuliza, Kwann mtu n rais mtu ambaye ana maamuzi makubwa kwenye nchi anaweza kwenda kwenye tume ya uchaguzi na kuamuru yeye ndie achaguliwe tena, ila badala yake anaongezea na kuua na kuteka wapinzani?
So kwenye kila zuri hapakosi baya lake hapo hapo kwenye uzuri wake.
Are you serious binti kiziwi? Hujui kuhusu upinde Emb acha kutuchora bana nyuzi ngapi ziko humu, wengine hata tulikuwa hatuja iwazia JF?On a serious note, kama kuna kitu sikielewi ni issue ya ushoga, Sielewi moja wala mbili A wala B yake.
Mi nilisema tu aka niliropoka based on how down you looked on michael baada na kabla.
Lakini nimemsoma member mmoja huko juu amesema michael was misquoted.. is it?
Doh!Ni mtu moja tu. Katika maisha halisi ndo sio riziki ila kwenye movie ni rijali.
Ile movie nliangalia nkaifurahia nlivokuja kugundua mshkaji ndo vile tena ilinikata sana nkaanza kuwaza ndo maana hata scene za Sara Tancred kuwa mpenzi wake zilikua hazioneshi uhalisia wa mapenzi.
Are you serious binti kiziwi? Hujui kuhusu upinde Emb acha kutuchora bana nyuzi ngapi ziko humu, wengine hata tulikuwa hatuja
iwazia JF?
View attachment 3616176
I didn't look down on him, in fact kati ya wasanii nao wa kubali na yeye yumo.. Ni maamuzi yake ndo yame ni piss off
It wasn't misquoted alifikia mpk kwenye media
View: https://youtu.be/_T7iEyE1pKU?si=ePMmmNGBWk5H_gYj
Wazungu wanamambo ya kipuuzi huyo ni kendal Jenner akifanyiwa surgery kubadili jinsia, ni socialite mkubwa marekani mbape akapagwaMsela anamwagiwa tui zito la nazi kwny utumbo mpana.
Mbape ye girlfriend wake ni Transgender,mwanaume aliyechoma sindano za kuongeza makalio,hips,matiti lkn ana mbo.o na mapumbuh kama kawaida.So mbape anamla shoga
It's weird jinsi wanawake walivyo watamu ukahangaike na upumbavu,bladfaken
Asante sana chatgpt @cocochannel nitaimalizia season 5 ila Wacha kwanza nitulie...Dah, de Gunner umenigusa sana na point yako! Michael Scofield alikuwa genius kweli, na Wentworth Miller alifanya kazi nzuri mno kucheza uhusika ule. Planning yake, utulivu, charisma, na jinsi alivyokuwa tayari kujitolea kwa ajili ya kaka yake, yote yalikuwa on point na yalimfanya awe character usiyemsahau kirahisi.
Ni kweli kabisa inakuwa ngumu kidogo ukishajenga connection na character au actor, halafu ukasikia mambo binafsi yao ambayo labda hukuyategemea. Ni hisia za kawaida kabisa, na inaeleweka kwanini unaweza kupata stimu zikakata kidogo. Unaanza kujiuliza maswali mengi, na inakuwa kama inafifisha ile picha uliyoijenga akilini.
Lakini nadhani ni vizuri kukumbuka kwamba kazi ya sanaa na maisha binafsi ya msanii ni vitu viwili tofauti. Uwezo wa Wentworth Miller kuigiza na kutuletea character kama Michael Scofield haupungui kwa sababu ya maisha yake binafsi. Yeye kama msanii alifanya kazi yake kwa ufanisi mkubwa na kutupa burudani isiyosahaulika.
Pengine unaweza ukaipa nafasi Season 5, ukafocus zaidi kwenye stori na jinsi Michael alivyokuwa anatatua matatizo yake mapya. Nadhani bado utaenjoy jinsi akili yake ilivyokuwa inafanya kazi na mikakati yake! Ni sawa kuhisi hivyo, lakini tusisahau kuthamini kipaji na kazi nzuri iliyofanywa.
Wabongo wanaigana kama manyumbu, na ukiwadadisi kwa undani utagundua hata wao pia ni mapunga pro max au wafiraji kuntu.Ila bongo bana..
Kuna mambo ya kuigana igana sana jamaa juu kasema yeye alipogundua Michael ni shoga akachana na kuchek movies yenyewe.
Ukiangalia wengine comment zao hvo hvo sasa ukisema huangalii hiyo movies ndo umechukua hatua gani ...?
ππππππππ Hivi ulikuwa wapi wewe mbona ulipotea gafula aiseeee..Wabongo wanaigana kama manyumbu, na ukiwadadisi kwa undani utagundua hata wao pia ni mapunga pro max au wafiraji kuntu.
Kujishebedua tu, hakuna lolote.
Kwanza kuna asiye na dhambi hapa au kelele za chura tu.
Kwah kwah kwah kwaaaah kwaaah BATA MAJI.