Huwa najiuliza swali, Endapo waafrika weusi tungepewa utajiri wa mafuta kama ilivyo kwa waarabu je tungeudumisha kama kinachoendelea UAE?

Huwa najiuliza swali, Endapo waafrika weusi tungepewa utajiri wa mafuta kama ilivyo kwa waarabu je tungeudumisha kama kinachoendelea UAE?

Africa haina mengi madini kuliko mabara yote, Hata hivyo Africa ina rasilimali za kutosha ambazo kama zingesimamiwa vizuri zingeweza kuikomboa kabisa kutoka katika umasikini, ukiwa na akili za kutosha hata bila kumiliki madini, mafuta na gesi unaweza kuendelea tu, Mfano mzuri ni Singapore, Korea Kusini, Switzerland na Israel.
Kila rasilimali yetu ingetumika kwa faida zaidi kwa mataifa ya africa basi tungepata mabilion mengi tu ya kigeni. Mifano ipo hapo Congo wana madini mengi saana ila angalia vurugu nk yanawafaidisha nn sasa.
 
Wanaotetea kuwa sijui seven mara six sisters De beers na wakoloni wengi ndio wameleta shida na blablaa nyingine. Skieni nyie vilaza mliokariri history hatudanganyiki.

Wazungu ndio wanatukandamiza, kwahiyo hata vyoo na madawati, matumizi sahihi ya vyoo na dust bin nalo hilo ni kosa la mzungu.

Hivi V8 ni mzungu ndio kawalazimisha mzipande, kuwa na mrundikano wa vyeo navyo hiyo ni mzungu kawalazimisha, kula rushwa napo hapo mnamsingizia mzungu😀😀😀,ebu mje na hoja zenye mashiko.

Mambo mengi yapo kwenye uwezo wetu ila hakuna kitu, watu wamesoma mpaka PhD ila hawako productive bora taifa zima wote tungeenda kusoma ufundi mbalimbali VETA.Wasomi wapo ila ni bora wasingepoteza muda kwenda shule.
 
A
Mwafrika hana akili,wewe na kwenda kote huko kwanini hujaulizia historia ya Dubai???Usomi wako uko wapi bwashee kwanini unashangaa na kutafakari kimyakimya😄😄😄au unaogopa kuchekwa kama kawaida yetu inferiority complex.

Mfalme wa dubai angeweza kujilimbikizia mali na kula na familia yake na ukoo wake, ila alikuwa na AKILI TIMAMU.Akaamua kuweka ubinafsi kando rasilimali za nchi zikaijenga Dubai,leo kila mtu anaenda kushangaa dubai mpaka wazungu wenyewe.

Ukija africa UBINAFSI na UKOSEFU WA VIPAUMBELE umetufanya tumekuwa mzigo,vituko na mazombie hapa duniani.

Leo uganda ameshindwa kukaza msuli awekeze pesa achimbe mwenyewe mafuta yake, kampa Ufaransa hapo kuna watu wamelamba 10% wametulia na familia zao mafuta yatatoka Uganda yatapita hapa kwetu yataenda Ufaransa😂😂😂😂😂 nabado unauliza mnafeli wapi,waafrica ni jamii iliyo LAANIWA.

Wazungu hawana kosa hata ukoloni unasingiziwa ukweli usemwe sisi hakuna kitu tunaweza. Ukirudi hapa kwetu tuna GESI hiyo tu inatosha kutufanya tuishi kama Libya ya Gaddafi ila yakuwapi.

Msitafute mchawi,wala wa kumtupia zigo la mavi UBINAFSI ndio shida ya AFRICA.Ajabu ni kuwa tatizo mbegu ya ubinafsi imemea vilivyo kiasi kwamba hata mtoto anayezaliwa leo anazaliwa na UBINAFSI.We as a continent, we are finished!!!
frika tunasumbuliwa na ubinafsi yaani mwafrika anaona sifa kusifiww kwa familia tajiri kwa pesa za mali ya umma!
 
A
frika tunasumbuliwa na ubinafsi yaani mwafrika anaona sifa kusifiww kwa familia tajiri kwa pesa za mali ya umma!
mimi napenda kumuita muafrica HALF HUMAN HALF ANIMAL, ni kiumbe pekee ambacho bado kinaundergo EVOLUTION.

Wazungu walikuwa wanawabagua mababu zetu kwa haki kabisa, hata mimi ningekuwa wao nimgewabagua tu MIJITU MYEUSI, siwezi kubali kuchangamana na wajingawajinga misavage people.Wazungu walishtuka mapema😀😀😀 kuwa hapa hamna binadamu hii ni mimonkey tu bure kabisa!!!
 
Mkuu hayo mabara ya ulaya asia na america lipi bara moja wapi linalo izidi africa katika madini ..?
Asia ina rasilimali zenye thamani zaidi kuliko Africa(Russia ikiwa sehemu ya Asia na Ulaya), Mabara mawili ya America pia yana rasilimali za thamani zaidi kuizidi Africa. Sisi tunaweza kuwa na rasilimali nyingi mbalimbali lakini thamani yake haiwezi kuzidi thamani Mafuta, gesi, Gold, Aluminium, Chuma, makaa ya mawe na Uranium zinazopatikana hayo mabara.
 
Kwa ufupi wangepigana sana sana kama kule Sudan
Moto ungekuwa unawaka kila mahali
 
Asia ina rasilimali zenye thamani zaidi kuliko Africa(Russia ikiwa sehemu ya Asia na Ulaya), Mabara mawili ya America pia yana rasilimali za thamani zaidi kuizidi Africa. Sisi tunaweza kuwa na rasilimali nyingi mbalimbali lakini thamani yake haiwezi kuzidi thamani Mafuta, gesi, Gold, Aluminium, Chuma, makaa ya mawe na Uranium zinazopatikana hayo mabara.
Hata africa ina mafuta bi vile tu hayaja gundulika na kusimamiwa kwa usahihi. Africa ina mafuta pia tatzo uongozi
 
Mleta mada yaani ni hivi hata marekani iseme leo waafrica wote twende US wao waje Africa yaani tubadilishane na watuachie kila kitu mpaka oil reserve waliyonayo yaani mpaka uchumi wao na reserve yote ya GOLD na pesa pale federal reserve.

Waafrica kwanza watakufa na baridi maana hata kuzalisha makoti na mablanket hawataweza,bure kabisa this race😬😬😬

🤗😀😀😀 miaka mitano mingi mbona yaani hiyo US haitatamanika tena alafu njoo africa uone jinsi BINADAMU WENYE AKILI watakavyokuwa wamepabadilisha na kutuacha mbali tena miaka 200 mingine🤣🤣🤣🤣 kama waafrica mnabisha tuwaombe wamarekani mi nauwakika hawawezi kataa.

Muafrica ni bure kabisa,anachoweza ni UARIBIFU,UBADHIRIFU, KULA NA NGONO....period!!!

#Africa a cursed continent!!!
 
Mleta mada yaani ni hivi hata marekani iseme leo waafrica wote twende US wao waje Africa yaani tubadilisha na watuachie kila kitu mpaka oil reserve waliyonayo yaani mpaka uchumi wao na reserve yote ya GOLD na pesa pale federal reserve.

Waafrica kwanza watakufa na baridi maana hata kuzalisha makoti na mablanket hawataweza,bure kabisa this race😬😬😬

🤗😀😀😀 miaka mitano mingi mbona yaani hiyo US haitatamanika tena alafu njoo africa uone jinsi BINADAMU WENYE AKILI watakavyokuwa wamepabadilisha na kutuacha mbali tena miaka 200 mingine🤣🤣🤣🤣 kama waafrica mnabisha tuwaombe wamarekani mi nauwakika hawawezi kataa.

Muafrica ni bure kabisa,anachoweza ni UARIBIFU,UBADHIRIFU, KULA NA NGONO....period!!!

#Africa a cursed contunent!!!
Afrika kuna tatizo, tena siyo dogo.
 
Mwafrika hana akili,wewe na kwenda kote huko kwanini hujaulizia historia ya Dubai???Usomi wako uko wapi bwashee kwanini unashangaa na kutafakari kimyakimya😄😄😄au unaogopa kuchekwa kama kawaida yetu inferiority complex.

Mfalme wa dubai angeweza kujilimbikizia mali na kula na familia yake na ukoo wake, ila alikuwa na AKILI TIMAMU.Akaamua kuweka ubinafsi kando rasilimali za nchi zikaijenga Dubai,leo kila mtu anaenda kushangaa dubai mpaka wazungu wenyewe.

Ukija africa UBINAFSI na UKOSEFU WA VIPAUMBELE umetufanya tumekuwa mzigo,vituko na mazombie hapa duniani.

Leo uganda ameshindwa kukaza msuli awekeze pesa achimbe mwenyewe mafuta yake, kampa Ufaransa hapo kuna watu wamelamba 10% wametulia na familia zao mafuta yatatoka Uganda yatapita hapa kwetu yataenda Ufaransa😂😂😂😂😂 nabado unauliza mnafeli wapi,waafrica ni jamii iliyo LAANIWA.

Wazungu hawana kosa hata ukoloni unasingiziwa ukweli usemwe sisi hakuna kitu tunaweza. Ukirudi hapa kwetu tuna GESI hiyo tu inatosha kutufanya tuishi kama Libya ya Gaddafi ila yakuwapi.

Msitafute mchawi,wala wa kumtupia zigo la mavi UBINAFSI ndio shida ya AFRICA.Ajabu ni kuwa tatizo mbegu ya ubinafsi imemea vilivyo kiasi kwamba hata mtoto anayezaliwa leo anazaliwa na UBINAFSI.We as a continent, we are finished!!!
Ukweli mtupu huu
 
We umekulia Kibera kwenye flying toilets
Zaidi ya chuki huna jipya tumekuzoea
Watu wanaongelea walipo na sisi tulipo wewe unaleta udini
Hiyo kibera mnaingiza ngapi kwa mwaka kutoka kwa watalii?
Imagine mtu anakuja kuona binaadamu akinya kwenye mifuko ya Rambo na kuitupa nje
Hivi una nguvu hata ya kuandika haya ukijua kuwa utamaduni wako ni wa kunya kwenye mifuko

Muarabu hana mchango wowote zaidi ya kubuni hiyo dini yenu ya magaidi, hayo mafuta isingekua kwa mzungu huyo muarabu angeteseka sana
 
Mwafrica ni kiumbe mpuuzi kuwahi tokea dunia hii.
Kwanza yupo hai kwa huruma ya mzungu tuu ata peppni hafai kwenda yeye apelekwe motoni akagegedane na shetani huko
Unawaza kugegeda tu mkuu 🤣 badala uwaze jinsi ya kutumia natural resources zetu unawaza kugegeda 🤣🤣🤣
 
T

Kama una umri wa kumuita Davido dogo basi upo vizuri.
Nikidhani wa 80s kumbe kinda la 92?
Screenshot_2025-01-06-19-47-29-770_com.google.android.googlequicksearchbox.jpg

Karne inavyoenda inawachanganya wengi,unatakiwa ujue aliyezaliwa 1976 leo ana hesabu ya 50 mkononi wa 1980 ana 44 siyo kila mtu ni mdogo na ndiyo wengi tumejaa humu kama wewe wa 2009s lazima umuone davido mkubwa kwa sababu amekupita miaka nane ila siyo mkubwa kama unavyoamini
 
Muarabu hana mchango wowote zaidi ya kubuni hiyo dini yenu ya magaidi, hayo mafuta isingekua kwa mzungu huyo muarabu angeteseka sana
Wewe nae siku mojamoja uwe unatoa point,mbona wakenya wapo smart sana wewe utakuwa mkenya wa mchongo.

Sasa wewe kwanza hizo dini zote achana nazo ndio zinaongoza kufubaza akili za MTU MWEUSI. Wewe hao waarabu unavyowachukia unatakiwa uwachukie hivyo hivyo na warumi.Acha makasiriko toa point ni vipi muafrica ataacha UBINAFSI na kuanza kuishi kama kiumbe kilichostaarabika.
 
Muarabu hana mchango wowote zaidi ya kubuni hiyo dini yenu ya magaidi, hayo mafuta isingekua kwa mzungu huyo muarabu angeteseka sana
Sasa wewe na ujinga wako huo na kujifanya mmeendelea mnaishi maisha hayo ya Kibera
Wenzako wanatupa 💣 wewe unatupa 💩 💩
Malengo yenu ni nini hapo
Waarabu hata kama wamevumbuliwa mafuta ila yako kwao na leo
Qataris wamenunua nusu ya majengo ya London na kuwatumikisha wazungu hao hao unaowaona wajanja
Huna akili wewe unawasifia wazungu ambao bila nyinyi wangepata taabu sana
Matunda na mboga zote zinatoka kwenu ila bado hata tissue hamjui kutumia

Utumwa wako kwa mkoloni bado unao poor thing
 
Jana nimemaliza safari yangu ya kikazi ya siku 4. Nilianzia Dubai nikakaa siku 1 kisha nikaelekea Abu Dhabi nikakaa siku 2. Nikamalizia Qatar siku 1. Na kila mara nikiwa kwenye ndege narudi bongo kutokea UAE huwa najiuliza hilo swali, hivi sisi waafrika weusi tungepewa huo utajiri wa mafuta, je tungekua matajiri kama walivyo waarabu?

Tajiri pekee mweusi alieweza kutengeneza utajiri wa kutisha na kuwaogopesha wazungu na wa-asia kipindi kile alikua ni mwamba Mansa Musa. Huyu jamaa yeye aliweza kudeal na gold na ikamtoa. Tukipata Mansa Musa mwingine tukampa North mara au GGM basi tutegemee kuwa namba 1 kiuchumi.

Unajua kuna hela, mali na utajiri hivo ni vitu tofauti kabisa. Mfano wazungu wengi tunasema wana hela, lakini sio kwamba ni matajiri kama miamba ya UAE, hao kina elon, mara billgates, na wengineo stock exchange ikireverse kidogo tu utajiri wao unashuka.

Mfano kampuni ya apple ina thamani ya Trillion 3 kwa sasa, lkn ukiangalia assets wala hazifiki hata billion 300. So ni pesa za namba tu.

Sasa njoo UAE, wale ni visima vya mafuta ambapo value zao sio kama kwa makampuni ya USA. Na ndio maana ukifanya deal na mwarabu yoyote au kampuni yoyote ya UAE wale jamaa wanakulipa cash, na wala sio stock au stock options.

Kuna banks kubwa kadhaa zilitetereka mwaka 2023 lakini mwarabu akajaza cash wakarudi mzigoni.

Ukitaka kujua utajiri ni nini basi nenda UAE, hela sio utajiri. Haiwezekani mtu una 100m bank halafu unajibania bania kula misosi ya maana au kuendesha ndinga za maana. Wewe sio tajiri bali ni una hela tu bank. Kaangalie kufuru za UAE, unapishana na ferrari imepakwa gold mwanzo mwisho.

Kufuru za utajiri wa UAE hakuna pengine duniani utaziona, labda kidogo sana Monaco, Italy wanajitahidi ila wao wengi ni familia na kimafia na wauza sembe
Labda familia ya Msoga inaweza kujibu.
 
Unawaza kugegeda tu mkuu 🤣 badala uwaze jinsi ya kutumia natural resources zetu unawaza kugegeda 🤣🤣🤣
Ah sasa niwaze nini chengine wakati ngono ndio burudani ya dunia weye.

On a serious note though inabidi waafrica tukubali sie akili tulizokuwa nazo ni za kutuweza kuvuka barabara kwa usalam tuu.
Hivyo basi kwa kuwa tumebarikiwa natural resources wacha mzungu tumuajiri atuendeshe mambo huku sie tunaburudika na maisha ya kugegedana.

Wenzetu waarabu wameshaliona hilo wao wana mafufa wazungu wana akili...so come work for use we pay u, u build our country and we enjoy life.

Una tanzanite gold gas serengeti kilimanjaro zanzibar lake victoria alafu bado wee suo donor country maana yake huna akili
 
Back
Top Bottom