MeditationKwema wakuu.
Hasira ni miongoni mwa hisia tunazopatwa nazo wanadamu.
Kitu gani huwa unafanya ili kupunguza au kuondoa kabisa hasira
Kwamba??Haha unaliaga na wewe!
It works perfectlyπnikimaliza kulia nalala.haha unalia tena but ni good technique! π
na usingizi unakuja ?Nalia Halafu nalala
unatembea bila uelekeo kama zombi ππNatembea bila mwelekeo, kama ni usiku sana naangalia clip za vichekesho
Haswa tena nalala muda mrefuna usingizi unakuja ?
Kwamba mimi ni chuma πNavoona unareact na kicheko automatically akili ikajuaga hulii π
πΆπΌββοΈsio chuma ila si huwa unachuma mboga kwenye yale mambo π
unaweza kudrive ukiwa na hasira?