Huwa unafanya nini ukiwa na msongo wa mawazo na si mnywaji wa pombe?

Huwa unafanya nini ukiwa na msongo wa mawazo na si mnywaji wa pombe?

Kila mtu ana kitu kinachompa relief wakati wa mawazo. Kusema kwamba uige za watu wengine kama wanavyochangia hapa utafail miserably. Nenda sehemu tulivu, vuta pumzi nyingi ndani na kuzitoa taratibu Anza kufikiria wewe ni nani hasa na dhumuni la kuishi ni nini ukihusisha na tatizo lako hakika utapata suluhisho na kusonga mbele.
 
Lakin ukisimama madhabahuni utawahubiria waumini ya kuwa wasitumie bangi ni mbaya.
Bangi sio mbaya ikitumiwa vizuri, ila watu wabaya hutumia vibaya kisha husingizia ni bangi kumbe ni wao ndio wameitumia vibaya.

Siwezi kutumia madhabahu kuwaambia wasitumie /watumie bangi maana kuna wale wenye vichwa legelege na imani haba kutachimbika church 😂
 
Back
Top Bottom