Huwa unafanyaje ukipatwa na hali ya kutotaka kufanya chochote na kukosa furaha?

Nishauri mie nifanyaje?

Mazoezi siyawezi kwa kweli
Ili mtu apin point mzizi wa ishu yako anahitaji kukusikiliza.

Kwa ulichoandika kichache kinaashiria hauna mawazo concerning financial issues na love life two of issues ambazo wengi zinawasumbua.

From psychological perspective inaweza kua issue yako ni ya muda mkubwa uliopita ama inatokana na wewe kua na goals ambazo unaona haujazifikia. Hayo yote yanaweza angaziwa kama mtu ataweza kukusikia kuanzia mwanzo.

Ila kama unaweza playstation why not doing it?
 
Ama ni vile nilivyoachwa kipindi kile?

Bado nna kinyongo nae yule boyaa hadi leo
 
Mkuu, hiyo itakuwa 'stress' inaanza..
Mikasi kwa sanaaa, ndo dawa tosha!
 
Kama umepangisha sehemu unapokaa hama kapange sehemu nyingine
 
Ama ni vile nilivyoachwa kipindi kile?

Bado nna kinyongo nae yule boyaa hadi leo
Hata mahusiano pia yana mchango mkubwa katika kukuachia makovu ambayo yanaweza kukufanya uka "act out of the ordinary" Lakini jaribu kukaa chini kutafakari kwa undani ni mawazo gani yanakuwa chanzo cha kupelekea wewe kupitia situation hiyo?! Hayo mawazo ndiyo yanaweza kukupa majibu mazuri zaidi...
 

Issue yangu imeanza ghafla jioni ya leo,nimejaribu kuwaza ni jambo gani haliko sawa naona kila kitu kipo sawa lakini moyo umekuwa hauna amani....sijui ni nini kinaenda kutokea

Nikicheza games playstation navuruga sana nikiwa off mood,sasa vile navyovuruga ile hali ya kuwa off mood inabadilika na kuwa hasira...naweza kuvunja hata PC
 
Nimepata bonge la idea Joanah

/Juisi ya pilipili kichaa pia inasaidia kuondoa msongo wa mawazo/
FANYA IVO UTANISHUKURU BADAE...
 
Busy na kutetemeka, nimechekaa🤣🤣🤣
Eeh bana.

Au we unafanyaje ukiwa stressed? Joanah ana stress ambazo uwa hazieleweki zinabase eneo lipi. Yan unajikuta tu little angry, little happi, little disappointed, frustrated and the like. Simply you become tired of everything.

Uwa unatoka aje hapo?
 
Asante RETROJAY

Japo nimeshafikiria sioni sababu ya mie kuwa hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…