Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Sio lazima masaa, unakua kama unaenda dukani tu, kimoko cha kwenye majani kwa ajili ya kuondoa hizo mood....Siwezi kuruhusiwa kutoka usiku huu🤣🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio lazima masaa, unakua kama unaenda dukani tu, kimoko cha kwenye majani kwa ajili ya kuondoa hizo mood....Siwezi kuruhusiwa kutoka usiku huu🤣🤣🤣🤣
Ili mtu apin point mzizi wa ishu yako anahitaji kukusikiliza.Nishauri mie nifanyaje?
Mazoezi siyawezi kwa kweli
Ama ni vile nilivyoachwa kipindi kile?Mkuu, leo yako, ni kesho uliyokuwa unaitazamia jana. Kwa hiyo yanayotokea sasa ni matokeo ya jana. Kwa hiyo mkuu inawezekana kuna kipindi kuna kitu kilikuumiza sana, uka move on lakini deep down, ukawa umebaki na makovu. Hayo makovu yanaweza kuwa ni psychological issues. Kwa sababu seriously unaonekana haupo sawa kwa maelezo uliyotoa. Siyo katika hali ya kawaida kabisa.
Unahitaji kumake peace na past yako. Hata kama unaamini hakuna kitu ambacho hakipo sawa.
Zitakutwa mbele kwa mbele.Sina nyege sasa
Au ulimanisha nigongwe na nini?
Teh teh..Uwa huniangushi kwenye hizi mambo.Sio lazima masaa, unakua kama unaenda dukani tu, kimoko cha kwenye majani kwa ajili ya kuondoa hizo mood....
Mkuu, hiyo itakuwa 'stress' inaanza..Hey people
Ikitokea ile hali hujagombana na mtu wala kumkosea yoyote lakini mood yako iko mbaya(sio stress)
Niko na mood hii sasa hivi....
Sijisikii kula lakini natamani kula
Natamani kulala lakini sina usingizi
Nimetoka kazini jioni hii ajabu ni sitamani kurudi kazini tena,yaani sina mood ya kufanya kazi tena,ile mood ya sitaki kwenda kazini forever(sijakosana na yoyote huko kazini)
Mambo nafanya kujiweka sawa ni kusikiliza mziki,kubet zile mechi inplay,kufua nguo ama kulia sasa ajabu ni kwamba leo nimefanya hayo yote lakini sioni unafuu aseee!
Imagine hapa nalia lakini sina sababu ya kulia teh!
Kila kitu kiko sawa kwa upande wa mahusiano,siko period na wala sikaribii kuingia period,sina nyege
Huwa unafanyaje kuondokana na hizi moods?kuna mtu kanishauri tutoke lakini sioni namna ya kuaga hapa nyumbani usiku huu...siwezi kuruhusiwa kutoka muda huu
Uzi hauko tayari....
Hata mahusiano pia yana mchango mkubwa katika kukuachia makovu ambayo yanaweza kukufanya uka "act out of the ordinary" Lakini jaribu kukaa chini kutafakari kwa undani ni mawazo gani yanakuwa chanzo cha kupelekea wewe kupitia situation hiyo?! Hayo mawazo ndiyo yanaweza kukupa majibu mazuri zaidi...Ama ni vile nilivyoachwa kipindi kile?
Bado nna kinyongo nae yule boyaa hadi leo
/Oops fu**k JoanahKwa taarifa yako mi mwenyewe nauza majeneza
Nikifa faida inaingia kwenye biashara yangu
Ili mtu apin point mzizi wa ishu yako anahitaji kukusikiliza.
Kwa ulichoandika kichache kinaashiria hauna mawazo concerning financial issues na love life two of issues ambazo wengi zinawasumbua.
From psychological perspective inaweza kua issue yako ni ya muda mkubwa uliopita ama inatokana na wewe kua na goals ambazo unaona haujazifikia. Hayo yote yanaweza angaziwa kama mtu ataweza kukusikia kuanzia mwanzo.
Ila kama unaweza playstation why not doing it?
[emoji16][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Hata nikifa sikuungishi biashara yako ya majeneza mzee
Eeh bana.Busy na kutetemeka, nimechekaa🤣🤣🤣
Asante RETROJAYHata mahusiano pia yana mchango mkubwa katika kukuachia makovu ambayo yanaweza kukufanya uka "act out of the ordinary" Lakini jaribu kukaa chini kutafakari kwa undani ni mawazo gani yanakuwa chanzo cha kupelekea wewe kupitia situation hiyo?! Hayo mawazo ndiyo yanaweza kukupa majibu mazuri zaidi...