Huwa unafanyaje ukipatwa na hali ya kutotaka kufanya chochote na kukosa furaha?

Nimepata bonge la idea Joanah

/Juisi ya pilipili kichaa pia inasaidia kuondoa msongo wa mawazo/
FANYA IVO UTANISHUKURU BADAE...
Yaani hayo mazagazaga yote nimeshatumia lakini wapi!
 
Akijibu nitag

Japo hii ya kuoga maji baridi naichukua teh!
 
No permanent situation bana, we susu ulale kesho utaamka kama hakukuwa na jambo usiku.

Unalalaje sasa na upo lit stressed? Temana na simu, weka flight mode washa mziki esp. hill and worship songs & slowly music.

Jifunike ile mnaita gubi gubi, endelea kulia huku unasikiliza mziki au jipigie story ( mimi ni pro max wa kujistorisha mwenyewe. Kama utashindwa hiyo itabidi utembee na lyrics za nyimbo mpaka utasinzia.
 
Yaani hayo mazagazaga yote nimeshatumia lakini wapi!
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]

/ Kumbe Joanah Una hasira za maumbile daaaaah polee /
Skujua ila sasa nimejua kuwa shepu lako box la karata[emoji16][emoji16][emoji16]

kAMA NI HIZO HASIRA ZA KIMAUMBILE HUWA HAZINA KIKOMO but anyway ushauri wa bure LALA TU MOMMY [emoji28][emoji850][emoji850]
 
Thanks maa 🙏

Naachana na simu sio muda
 
Am so sorry. Unapendelea games gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…