Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lol [emoji28][emoji28]Tatizo upo Dar hii haitokufaa. Ni kuoga maji baridiii ukitoka hapo unakuwa busy na kutetemeka [emoji23]
Cc Chaliifrancisco
Akijibu nitagEeh bana.
Au we unafanyaje ukiwa stressed? Joanah ana stress ambazo uwa hazieleweki zinabase eneo lipi. Yan unajikuta tu little angry, little happi, little disappointed, frustrated and the like. Simply you become tired of everything.
Uwa unatoka aje hapo?
Mpendwa, bwana asifiwe....Teh teh..Uwa huniangushi kwenye hizi mambo.
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Yaani hayo mazagazaga yote nimeshatumia lakini wapi!
Pole sanaI don't know 😔
Anytime mkuu🙏🏽
Thanks maa 🙏No permanent situation bana, we susu ulale kesho utaamka kama hakukuwa na jambo usiku.
Unalalaje sasa na upo lit stressed? Temana na simu, weka flight mode washa mziki esp. hill and worship songs & slowly music.
Jifunike ile mnaita gubi gubi, endelea kulia huku unasikiliza mziki au jipigie story ( mimi ni pro max wa kujistorisha mwenyewe. Kama utashindwa hiyo itabidi utembee na lyrics za nyimbo mpaka utasinzia.
Kaamsha mashetani sio...!!!?Ungemtumia pm ingependeza sana Chief
Am so sorry. Unapendelea games gani?Issue yangu imeanza ghafla jioni ya leo,nimejaribu kuwaza ni jambo gani haliko sawa naona kila kitu kipo sawa lakini moyo umekuwa hauna amani....sijui ni nini kinaenda kutokea
Nikicheza games playstation navuruga sana nikiwa off mood,sasa vile navyovuruga ile hali ya kuwa off mood inabadilika na kuwa hasira...naweza kuvunja hata PC
Umewahi ijaribu Uncharted: Lost Legacy? Ni game nzuri ya mission kama NFS.NFS sana
Kazi hazikuandami ?