Huwa unajisikije pale unapokuta na mwana ambaye kaoa, muda wote stori zake kidogo tu anataja mke wake?

Huwa unajisikije pale unapokuta na mwana ambaye kaoa, muda wote stori zake kidogo tu anataja mke wake?

Bila shaka mko poa kabisaa. Kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu, uwa naona kinyaa sana pale nakutana na mwana flani unategemea mnapiga stori zenu binafsi au tudiscuss mambo ya maana au kupeana idea nzuri za maisha yeye kidogo tu mke wangu. Hivi huu uwa ni ulimbukeni au nikitugani afu mbona ukikaa na watu flani wenye umri mkubwa(legends) hawana huu ujinga tena mnadiscuss vitu vya maana zaidi afu hukuti akileta habari za mke wake bila sababu ukizingatia mwana hata hela hana ndo anajitafuta ila yeye kitu kidogo tu mke wangu hadi anaboa. NB; Mimi sio kataa ndoa na wala sizungumzii haya kwa angle ya chuki au wivu, Asanteni na karibuni kwa maoni.
Bora huyo kuna mwingine anataka kuoa lakini kila kitu anataja dada ake yani kwadada kuna hiki, dada anapenda hiki, dada alikua anapika hiki dada dadaaa
 
Bila shaka mko poa kabisaa. Kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu, uwa naona kinyaa sana pale nakutana na mwana flani unategemea mnapiga stori zenu binafsi au tudiscuss mambo ya maana au kupeana idea nzuri za maisha yeye kidogo tu mke wangu.

Hivi huu uwa ni ulimbukeni au ni kitu gani afu mbona ukikaa na watu flani wenye umri mkubwa (legends) hawana huu ujinga tena mnadiscuss vitu vya maana zaidi afu hukuti akileta habari za mke wake bila sababu ukizingatia mwana hata hela hana ndo anajitafuta ila yeye kitu kidogo tu mke wangu hadi anaboa.

NB: Mimi sio kataa ndoa na wala sizungumzii haya kwa angle ya chuki au wivu, Asanteni na karibuni kwa maoni.
Acha tutajane tu, kuoa/kuolewa si jambo dogo
 
Sijui ikikuwa nchi gani waziri alifukuzwa maana kila mchango lazima aseme Mke wangu siku moja alisema hivi

Akaambiwa nenda kakae na mke wako hapa hapakufai
 
Back
Top Bottom