Huwa unajisikije pale unapokuta na mwana ambaye kaoa, muda wote stori zake kidogo tu anataja mke wake?

Huwa unajisikije pale unapokuta na mwana ambaye kaoa, muda wote stori zake kidogo tu anataja mke wake?

Ni sawa kabisa kila mtu azungumze kikichomjaa kichwani mwake, alieshikwa prostate na aendelee kuhubir ukuu wa mkewe
 
Bila shaka mko poa kabisaa. Kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu, uwa naona kinyaa sana pale nakutana na mwana flani unategemea mnapiga stori zenu binafsi au tudiscuss mambo ya maana au kupeana idea nzuri za maisha yeye kidogo tu mke wangu.

Hivi huu uwa ni ulimbukeni au ni kitu gani afu mbona ukikaa na watu flani wenye umri mkubwa (legends) hawana huu ujinga tena mnadiscuss vitu vya maana zaidi afu hukuti akileta habari za mke wake bila sababu ukizingatia mwana hata hela hana ndo anajitafuta ila yeye kitu kidogo tu mke wangu hadi anaboa.

NB: Mimi sio kataa ndoa na wala sizungumzii haya kwa angle ya chuki au wivu, Asanteni na karibuni kwa maoni.
Hao ni wasukuma, ndo washamba kwa wanawake dunia nzima.
 
Sio kaoa tu. Kuna wale watu himjui hakujui, mmekutana dk2 anaanza mara stori za pesa, mara za miradi yake, mara kazini kwake, mara familia yaani tabu tu. Mm huwa najipigia simu naanza kuongea hadi asepe
 
Chino 😂😂😂
Wivu kwa mwanaume aliyepauka, kapigwa na maisha ya TOZO!! Mi wa nini sasa.!!

Chino mchele bado sijapata ujue!! Huyo dadaako Maho analeta au haleti.??🤣
Mbona wifi ana roho mbaya sana.!!
Kitu km mchele nacho cha kuninyima jomooni!!
 
Chino 😂😂😂
Wivu kwa mwanaume aliyepauka, kapigwa na maisha ya TOZO!! Mi wa nini sasa.!!

Chino mchele bado sijapata ujue!! Huyo dadaako Maho analeta au haleti.??🤣
Mbona wifi ana roho mbaya sana.!!
Kitu km mchele nacho cha kuninyima jomooni!!
Haha
Ushaanza! embu tulia

Nipe location
Kesho ukufikie
Haha tatizo muoga sana
 
🤣🤣🤣🤣 mweee jamani
Nkamu tena hii mnayo sana walimu mkiwa mnasahisha madaftari ni Mr…………… mpk waliokosa ndoa wajichanganye kubeba mataputapu ili nao wapate kumilikiwa.!! 🤣🤣🤣
Sisi huku kuna mmama kajimix kutuletea story za Mr tukabaki tunamshangaa.!!
Tukampa christmas moja, ya pili hatukumsikia tena.!! Mr wake akawa PESA tyuu!!
 
Maongezi yoyote yanayohusu kitu ambacho wewe huna huwa yanaumiza na kupelekea kuhisi wivu.

Tatizo linaanzia pale unapohisi wivu wa chuki badala ya wivu wa maendeleo.

Muhimu: Maongezi yazingatie muktadha na hadhira.
 
Back
Top Bottom