Huwa unajisikije pale unapokuta na mwana ambaye kaoa, muda wote stori zake kidogo tu anataja mke wake?

Huwa unajisikije pale unapokuta na mwana ambaye kaoa, muda wote stori zake kidogo tu anataja mke wake?

Nkamu tena hii mnayo sana walimu mkiwa mnasahisha madaftari ni Mr…………… mpk waliokosa ndoa wajichanganye kubeba mataputapu ili nao wapate kumilikiwa.!! 🤣🤣🤣
Sisi huku kuna mmama kajimix kutuletea story za Mr tukabaki tunamshangaa.!!
Tukampa christmas moja, ya pili hatukumsikia tena.!! Mr wake akawa PESA tyuu!!
😂😂😂😂 tena siye walimu ni kweli tumezidi
 
Back
Top Bottom