Huwa unajisikije pale unapokuta na mwana ambaye kaoa, muda wote stori zake kidogo tu anataja mke wake?

Huwa unajisikije pale unapokuta na mwana ambaye kaoa, muda wote stori zake kidogo tu anataja mke wake?

Hapo mke tuu mnatokwa kijasho cha chuki sijui siku akitoboa maisha ninyi bado itakuwaje?
 
Mr huwa hapendi hivi , mr huwa muoneni vilevile yaani huyu....mr hapendi uchafu .mr huwa ana.....

Sisi kazi yetu ni kusikiliza na kutoa ushauri...
Sema ni watu wameumbwa kusifia anataka ujue anaishije nk
 
Tujifunze pia na kuwaambia wahusika straight bila kepepesa macho kama tunavyoandika mada.
 
Ndo mana sipendi urafiki na vijana walio-oa ,wale watu wazima hawana ulimbukeni kama huo😊
 
Ndio maana mnatakiwa marafiki wenye hobbies zinazofanana, wewe hujaoa, jamaa yako kaoa it's obvious stories zenu za mambo ya kijamii zinaweza kuwa tofauti.

Mkikaa family men, mnaongea everything from kazi hadi watoto hadi mke.

Kwenye cycle yangu kuna jamaa ana mke, miaka 12 hana watoto. Its really tough tukianza kuongelea stories za watoto, lazima tuchague maneno wisely otherwise anakwazika bila sisi kujua.
 
Back
Top Bottom