Huwa unajisikije pale unapokuta na mwana ambaye kaoa, muda wote stori zake kidogo tu anataja mke wake?

Bora huyo kuna mwingine anataka kuoa lakini kila kitu anataja dada ake yani kwadada kuna hiki, dada anapenda hiki, dada alikua anapika hiki dada dadaaa
 
Acha tutajane tu, kuoa/kuolewa si jambo dogo
 
Sijui ikikuwa nchi gani waziri alifukuzwa maana kila mchango lazima aseme Mke wangu siku moja alisema hivi

Akaambiwa nenda kakae na mke wako hapa hapakufai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…