Huwezi amini lakini ukweli bila NATO, Marekani anaiogopa Sana Urusi

Wachina wanasystem moja ambayo Government inakukopesha billions ya hela uwende ukafanye uwekezaji nje au ndani ya nchi hio, huku unarejesha, ukizihonga hela na kula bata wakija kukudai huna wanakunyonga
 
Nafahamu kuliko unavyofahamu.
Shida ya mchina anachanganya bidhaa hafifu na bora, angekuwa na std moja angetoboa.
Lakini kwa mseto huu kibiashara ni kifo.
Mkuu baadhi ya nchi kama yenu ndio mnaletewa baadhi ya vitu fake ila ukienda hapo Rwanda kifaa kutoka China ni quality, jamaa wanatabaka ww ukitaka hata kiatu cha dola 1 utakioata China na ukitaka kiatu cha dollaer 1000 hichohicho utakipata
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]#UPDATE US Secretary of State Antony Blinken says he will speak to Russian Foreign Minister Sergei Lavrov in the "coming days" amid fears that Moscow could invade Ukraine
 
"Marekani na NATO wanamsubiri Urusi aingie mtegoni".
Hapa pia bado anaonekana Marekani kutegemea zaidi msaada wa ulaya (NATO)kudili na Urusi.
Yaani sio Marekani peke yake.
Asante kwa kuniunga Mkono Sir Chief.
 
usisahau hio kura kwenye UNSC inahitajia kupigiwa kura wakati huo huo RUSSIA nimwanachama wakudumu wa UN kwenye wale watano
mnamuona RUSSIA hana akili eeeh kama walishindwa.kuitisha hio kura mwaka 2014 wataweza leo wao kama wamefikiria hapo wenzao wamefikiria zaidi ya hapo
 
wee jamaa unashida gani?
tutajie viongozi waloiuza KRIMEA halaf tuendelee kukuelewesha mambo yanavyoenda
 
inahitajia kujitoa ufahamu sana ndio uutilie mashaka uhusiano wa KOREA NORTH na UCHINA hawa mabwana uhusiano wao hauna hata chembe yashaka kabisa
 
Ukraine ni nchi huru brother,Mfano China aki vote against that means amehalalisha nchi yoyote yenye nguvu kuvamia nchi yoyote huru bila kuulizwa wala kuchukuliwa hatua.Hapo kuna some sort of calculations mkuu sio tu ku vote and go.
sasa shida sio nchi huru shida ninguvu ya kura ya VETO tuseme UCHINA asi vote hay aki VOTE yey mwenyewe RUSSIA?
 
Mtoa mada ulitakiwa kujua kwanza why urusi inataka kumvamia Ukraine,na why NATO anahusishwa,husingekua na swali why marekani anamuhitaji NATO katika mgogoro huu.
 
inahitajia kujitoa ufahamu sana ndio uutilie mashaka uhusiano wa KOREA NORTH na UCHINA hawa mabwana uhusiano wao hauna hata chembe yashaka kabisa
Ni kwa vile tu haufahamu jinsi ambavyo uhusiano wao ulivyo.

Sasa, fahamu kuwa China imekwisha unga mkono vikwazo dhidi ya Korea Kaskazini na kuiwekea vikwazo vya kiuchumi mara kadhaa kutokana na masuala yake ya nyuklia.

Ilifika hatua Korea Kaskazini ikawa inaishambulia China waziwazi kwenye vyombo vyake vya habari kwamba China ni taifa la kinafiki likishirikiana na Marekani.

Kuna maneno mengine makali sana yalikuwa yakitolewa na Korea Kaskazini juu ya China sitayasema hapa. China ilizuia mpaka bidhaa mbalimbali kutoka Korea Kaskazini kuingia nchini China.

Hayo ndio mashaka yenyewe! Kuna swali?
 
kama uhusiano wa UCHINA na KOREA ungekua unashaka KOREA isingeweza kuwepo mpaka muda huu
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ww jamaa ni zaidi ya comedy, eti China imeshaunga mkono vikwazo dhidi ya Korea kaskazini, yaani si tu muongo bali pia unandoto ambazo ni mzigo kichwani mwako [emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…