FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,500
- 8,060
Isingekuwepo kwa sababu gani?kama uhusiano wa UCHINA na KOREA ungekua unashaka KOREA isingeweza kuwepo mpaka muda huu
Unayajua maazimio yote ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UNSC) kuhusiana na Korea Kaskazini?[emoji23][emoji23][emoji23] ww jamaa ni zaidi ya comedy, eti China imeshaunga mkono vikwazo dhidi ya Korea kaskazini, yaani si tu muongo bali pia unandoto ambazo ni mzigo kichwani mwako [emoji16]
Sjui huwaga hizi pupu anazitoaga wapi huyu, anakaa tu na kujiwazia kutokana na mahaba yake ya upumbavu analeta humu [emoji23]kama uhusiano wa UCHINA na KOREA ungekua unashaka KOREA isingeweza kuwepo mpaka muda huu
Ushawahi kwenda Rwanda au unaongea tu ushuzi?Mkuu baadhi ya nchi kama yenu ndio mnaletewa baadhi ya vitu fake ila ukienda hapo Rwanda kifaa kutoka China ni quality, jamaa wanatabaka ww ukitaka hata kiatu cha dola 1 utakioata China na ukitaka kiatu cha dollaer 1000 hichohicho utakipata
Unaongea wewe ila Russia this time anajua kifuatacho ndio maana amekana kutaka kuvamia Ukraine na NATO wameshatoa msimamo kuwa Russia akiingiza mavuzi Ukraine atajutia kwa madhara atakayo yapata kutokana na uvamizi huo.... NATO wameshaanza kujiandaa na battle urusi karudisha Battery anadai hana mpango wala fikra za kuvamia UkraineRussia jinsi alivyo mbabe anazichukulia Marekani +NATO kama nchi moja tu.
Ingawa kiuhlisia hayo ni mabala mawili,yaani North America + Europe .
Mtu mwenye ICBM unaanza kumpiga vipi? Manake ukimgusa raia wa nchi yako wajiandae. Urusi wale jamaa hawana show off ila balaa lake kwa nguvu za kijeshi na teknolojia yupo mbali sana.Wadau kumbuka unapomsema USA ni kusema Israeli ,urusi alishaambiwa akijaribu kuivamia ukraine atapata madhara makubwa sana na kujutia, kashaambiwa diplomasia itumike kumaliza mgogoro huo ,yaani Israeli+uingereza+german+ufaransa+US A kiukweli amesisitiziwa ajaribu aone na wao wametega kujiona wapole ila wadau USA na washirika wake wameshajiandaa anasubiri tyu avamie,MUNGU mwenyewe hawezi ruhusu hii sayari ije kuongozwa na madikteta china na urusi,kushindwa kwa marekani na israeli ni kuifanya dunia iongozwe na madikteta urusi na china ,pata picha hii sayari ya dunia itakuaje,dunia lazima iongozwe kwa njia ya kidemokrasia sio kidikteta ili kila mtu afanye anachotaka pasipo kuingilia uhuru wa mtu.
kama meno mdomoni yanatafunana na ulimi kasoro ndogo ndogo kwa KOREA NORTH na UCHINA haziwezi kukosekana nandio nature ipo hiviIsingekuwepo kwa sababu gani?
Mashaka kwenye uhusiano hayana uhusiano na Korea Kaskazini kuwepo ama kutokuwepo. Ukweli ni kwamba, China na Korea Kaskazini zimekwisha wahi kukorofishana mara kwa mara. Awali nilitumia neno "kuzinguana".
Pia nilisema, mshirika pekee wa muhimu na wa maana wa Korea Kaskazini ni China pamoja na kwamba kuna kasoro hizo nilizozitaja.
anaeweza kumpiga RUSSIA ni RUSSIA pekee acha kujitoa ufahamuUnaongea wewe ila Russia this time anajua kifuatacho ndio maana amekana kutaka kuvamia Ukraine na NATO wameshatoa msimamo kuwa Russia akiingiza mavuzi Ukraine atajutia kwa madhara atakayo yapata kutokana na uvamizi huo.... NATO wameshaanza kujiandaa na battle urusi karudisha Battery anadai hana mpango wala fikra za kuvamia Ukraine
Ninakubaliana na wewe hapo uliposema kwamba mahusiano yao ni imara zaidi kuliko tofauti zao. Ndio maana nilisema kwamba mshirika muhimu zaidi na wa maana wa Korea Kaskazini ni China pekee.kama meno mdomoni yanatafunana na ulimi kasoro ndogo ndogo kwa KOREA NORTH na UCHINA haziwezi kukosekana nandio nature ipo hivi
kwahio sidhanii kama kuna jipya hapo juzi tu hapa tuliona mgogoro rarely kabisa baina ya US na FRANCE
kwahio same same kwa UCHINA na NORTH ila haiondoi ukweli mahusiano yao niimara zaidi kuliko tofauti zao
Urusi ni moja ya nchi vinara katika teknolojia ya makombora ya masafa ya mbali (ICBM). Lakini, haimaanishi kuwa nchi yoyote ile yenye ICBM haiwezi 'kupigwa'.Mtu mwenye ICBM unaanza kumpiga vipi? Manake ukimgusa raia wa nchi yako wajiandae. Urusi wale jamaa hawana show off ila balaa lake kwa nguvu za kijeshi na teknolojia yupo mbali sana.
US anapenda akipigana nchi yake isiguswe na ndio maana anabase nyingi duniani.Ila ICBM ukiwa na US lazima akuogope sababu anajua akigusa unauwezo wa kurusha ICBM.
Hata hizo SLBM anazo so Urusi anaweza kupigwa ila hizo nchi zitakazo Mgusa zitaachiwa madonda makubwa ambayo hayatoponyeka au itawachukua karne kurudi kwenye ubora wao.Urusi ni moja ya nchi vinara katika teknolojia ya makombora ya masafa ya mbali (ICBM). Lakini, haimaanishi kuwa nchi yoyote ile yenye ICBM haiwezi 'kupigwa'.
Hii dunia ni kubwa sana, hivyo sio kila ICBM ina uwezo wa kwenda ama kufika mahali popote pale duniani. Pia, mahali ambapo ICBMs zinahifadhiwa kwa ajili ya kurushwa/kufyatuliwa ni mahali ambapo panaweza kufahamika kiwepesi na adui hivyo zinaweza kushambuliwa na adui hata kabla hazijafyatuliwa.
Kwa maoni yangu, SLBM (submarine-launched ballistic missile) ni bora zaidi kuliko ICBM sababu SLBM inaweza kufyatuliwa kutokea mahali popote pale duniani ambapo submarine itakuwepo huku kukiwa na ugumu zaidi wa kutambua mahali ambapo kombora hilo limefyatuliwa.
Moja ya sifa muhimu sana ya submarine ni kuhama kutoka eneo moja kwenda jingine na kutotambulika kirahisi hivyo inaweza kufanya shambulizi karibu kabisa na mipaka ya adui kwa ufanisi zaidi huku adui akibaki na muda mchache sana wa kujiandaa na shambulizi.
Hizi ni miongoni mwa sababu ambazo nchi kama Urusi iliamua kuzipakia ICBMs kwenye malori na kisha kuzunguka nazo sehemu mbalimbali ili zisijulikane kirahisi na adui mahali zilipo ukizingatia jinsi ambavyo jiografia ya Urusi ilivyo. Hata hivyo, bado ufanisi wake si mkubwa kama wa SLBM ukiacha sababu zingine.
Ndugu kitu ambacho napenda ufahamu ni kwamba Urusi Wala hakutangaza kama anataka kuivamia Ukraine.Unaongea wewe ila Russia this time anajua kifuatacho ndio maana amekana kutaka kuvamia Ukraine na NATO wameshatoa msimamo kuwa Russia akiingiza mavuzi Ukraine atajutia kwa madhara atakayo yapata kutokana na uvamizi huo.... NATO wameshaanza kujiandaa na battle urusi karudisha Battery anadai hana mpango wala fikra za kuvamia Ukraine
hauna chembe ya shaka maana yangu nikwamba wanamahusiano imara kabisaNinakubaliana na wewe hapo uliposema kwamba mahusiano yao ni imara zaidi kuliko tofauti zao. Ndio maana nilisema kwamba mshirika muhimu zaidi na wa maana wa Korea Kaskazini ni China pekee.
Nilichopingana na wewe ni pale mwanzoni uliposema kuwa uhusiano wao "hauna hata chembe ya shaka".
Sio kuogopa! Hakuna nchi isiyoogopa vita duniani.Tunaambiwa kuwa Marekani ndio taifa lenye nguvu kabisa hapa duniani.
Lakini ukiangalia kwa undani utaona pengine ni wingi wa silaha tu lakini sio ujasiri.
Ukiangalia matendo ya Marakani dhidi ya Urusi ndio utajua kweli Marekani anaiogopa Urusi.
Mgogoro wa Urusi na Ukraine Marekani anaionya Urusi isijaribu kuivamia Ukraine kwa sababu mbili,
Moja anasema Urusi atalipa gharama kubwa,gharama zenyewe ni vikwazo.
Mbili anasema itatokea Vita kubwa lakini anaanza kuwaomba NATO wawe wamoja ili kumkabili Urusi peke yake.
Sasa najiuliza kwa Nini kama Marekani ni superpower awategemee NATO kumkabili Urusi peke yake?
Kwa Nini asiseme Urusi usivamie Ukraine nami ntapigana na wewe kupitia Ukraine?
Kwani bila NATO Marekani peke hawezi kumkabili Urusi?
Marekani pia aliwahi kuwaomba NATO wakamtoe Assad wa Syria NATO hawakutoa ushiriakiano,Urusi akasema Assad haondoki na Urusi akapeleka jeshi kumlinda Assad Marekani akaondoka Syria.
Urusi aliivamia Georgia na kajitwalia abkhazia na Osettia,akavamia Ukraine na kujitwalia Crimea.
Yote haya Marekani alitoa onyo Kali lakini ama aliomba ushiriki wa NATO ambao kwa kweli jamaa wale ama hawapendi kuingia mgogoro na Urusi ama hawapendi tabia za Marekani za kuichokoza Urusi.
Maana yangu ni kwamba Marekani hawezi kuikabili Urusi bila NATO na anachoweza kuikabili Urusi ni vikwazo tu.
Ndugu kitu ambacho napenda ufahamu ni kwamba Urusi Wala hakutangaza kama anataka kuivamia Ukraine.
Pili hakuna hata nchi moja ya NATO ambayo ipo tayari kuingia vitani na Urusi.Kwa sababu,
Vita Kati ya NATO na Urusi sio Vita ya bunduki,Bali ni Vita ya makombora,
Sasa nitajie nchi moja katika upande wa NATO ambayo iko tayari kutoweka katika ramani ya Dunia kwa sababu ya Ukraine tuu.?
Ambae Wala sio Mwanachama wao.
Lakini kaa ukijua linapokuja suala la ulinzi wa mipaka nchi yoyote haifanyi majaribio.sasa suala la NATo kutaka kulazimisha kujitanua ni sawa na kuruhusu adui avamie Urusi.So Urusi akiona hawaheshimu hali hiyo Wala hawezi kutishwa na NATo,yaani maana yake Yuko tayari kuingia vitani na yoyote.
Na hali hii sio kwa Urusi tu,hata Marekani au nchi yoyote haiko tayari kuhatarisha usalama wake.
Kwa hiyo ikifika wakati wa kuvamia atavamia.na nakuhakikishia NATO hawatakuwa tayari kuingia vitani na Urusi.Vuta ya NATO na Urusi na maangamizi na huenda ikawa na muonekano wa Vita ya tatu ya Dunia..
Nikupe mfano tu unafukiri kutakua na uvumilivu au subira ya kutumia silaha za maangamizi,hamna Hawa watu hawatachelewa kutumia silaha kubwa kwa sababu za kutoaminiana kwamba labda ataniwahi,labda ataniwahi mwisho wanarushiana makombora mazitomazito ya maangamizi.
Sasa nitajie vi nchi kama uingereza ambavyo ni vidogo kwa eneo vinahutaji makombora mangapi kuvifuta katika uso wa duniaa?
Je ni nchi gani ulaya iko tayari kwa hilo?
Kisa Ukraine na sbabu yenyewe ni interest za Marekani kutaka kujitanua Kijeshi?
Mkuu ninacho iki kitabu kidogo ivi cha kijani umenifanya nikirudie kidogo# peace#Vita vya sasa ni kutishana tu Cost na Collateral Damage ni kubwa sana..., hivyo mwisho wa siku ni vigumu sana watu kupigana kwa vitendo...
The supreme art of war is to subdue the enemy without fighting. Sun Wu
pdf tafadhali[emoji848][emoji848][emoji848]Mkuu ninacho iki kitabu kidogo ivi cha kijani umenifanya nikirudie kidogo# peace#