Huwezi amini Wazungu ndio wanalisha Hoteli za Kitalii Tanzania, Hii aibu kuu


..inawezekana kulima na kuwauzia hao wazungu?

..Na ukishapata uzoefu wa ku-supply hao wazungu ndio unaingia moja kwa moja kwenye biashara na hoteli za kitalii.

..Nadhani ni vizuri kwenda hatua kwa hatua kwanza kupata uzoefu wa kuzalisha mwaka mzima, quality zinazotakiwa, na kukuza mtaji.
 
Sisi tuna changamoto nyingi mno
Kujituma 0
Majungu 100%
Ubunifu 0
Wivu mwingi
Tamaa mbele
Uharibifu ndiyo usiseme
Majivuno kwa wingi hata kama hatuna kitu
Kujisikia ni kama kipaji
 
WANANCHIIIIIIIIIIII
πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›
LEO NI KIVUMBI NA JASHO.
TUNATINGA NUSU FAINALI KIBABE.
MADUNDUKA LEO YATALILIA CHOONI
 
Uliplan kuuza bei gani before haujakutana na huyo mnunuzi?!

Kuna vitu hapo unasahau, gharama za kununua huo mzigo kwenu, kuuprocess uwe katika hali safi ya kuufunga, kuufunga, storage kuuhifadhi na kuupakiza kwenye gari gharama zake kama za maakuli, kusafirisha hadi sokoni, hapo kuna vibali, bado traffic hawajaomba hela ya kiwi, unapofika pia huko unatakiwa kuhifadhiwa, then gharama za kufanikisha mauzo kwa mteja anaetaka huo ufuta.

Shida wakulima unataka mtu akiuza ufuta 6000 wewe upate 5,500/= yeye abakie na 500/=.

Huwa najiuliza kama huwa mnafikiria sawa sawa nyie watu.

Kwenye Kilimo kuna kitu kinaitwa mnyororo wa thamani. Wewe kulima ni mwanzo tu pale, hapa katikati kuna wadau kibao ndio wanaosababisha huo ufuta usikie unauzwa sokoni bei ya 6000 badala ya ile 1,500 uliyouza wewe na kusema unanyonywa.

Kama unadhani ni rahisi haya lima ufuta halafu nenda kapambane nao huko sokoni hadi uuzwe upate hiyo 6000 yote halafu utaona hasara utakayopata.

Kitendo cha wewe kwenda sokoni kufukuzia wateja tayari msimu unakupita huku shambani unachelewa kilimo. Ukirudi huku sokoni wateja wanakuulizia vipi mzigo , utachanganyikiwa.

Wewe chagua sehemu au section yako katika mnyororo wa thamani utakaa kipande gani sio uwe na tamaa ya kutaka kumiliki vyote. Tatizo mnawasikiliza wanasiasa wanavyowadanganya ili wawaibir kura zenu.

Utasikia wakulima wananyonywa sana, korosho huku sokoni inauzwa kuanzia shilingi 3000 kwa kilo ila wao wanauza kwa bei ya hasara ya shilingi 1,500.

Sasa unajiuliza kama wewe mkulima utataka kulipwa 3000 ya bei ya soko, je hizi gharama za katikati za Aids to trade atabeba nani. Unadhani hiyo 1500 inayoambiwa unaikosa huwa wafanyabiashara wanaiweka mfukoni yote?

Tena unaweza kuta anayekuja kuchuuza kwako anapata faida ya tshs 200 kwa kila kilo. 1300 yote inalipia gharama zilizopo kufikisha mzigo sokoni.

Aiseee.
 
Si hata sasa serikalini majitu yanaiba pesa za miradi, maendeleo yanakwama halafu wanalalamika. Ripoti ya CAG imetolewa sasa komaeni hawa wezi washikwe, yamekaa kimya yanakenua kenua meno, sasa mnataka sijui askari ndio waandamane kwa niaba ya raia.
 
Jamani mchele unamafuta mpaka unajisikitikia huku unanunua, mwanzo nilikuwa najiuliza huu mchele vipi nikajua bahati mbaya nikamfuata mfanyabiasha mmoja akaniambia sio bahati mbaya daa afya zetu ni kwa huruma ya mwenyezi Mungu
Mchele kupakaa mafuta sio swala la wizi au uhalifu. Ni process ambayo ni lazima ufanye ili kuulinda usiharibike unapokuwa store.

Mchele ukiwekwa mafuta unaweza kaa hata miaka miwili store na ukawa mtamu tu. Ila usipowekwa mafuta unabungua.

Tena mafuta mazuri ni ya nazi yale meupe ambayo hayajapashwa. Ila sababuya upatikanaji wake ndio maana yanatumika haya ya kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…